Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
- Thread starter
- #41
Kikwete yuko muda mrefu katika system je kuna mtu anaye data zake za kujilimbikizia mimali ya wamasikini kama Lowasa,Mramba,Meghji,Mgonja.Msuya,Mungai the list is ndefu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikwete yuko muda mrefu katika system je kuna mtu anaye data zake za kujilimbikizia mimali ya wamasikini kama Lowasa,Mramba,Meghji,Mgonja.Msuya,Mungai the list is ndefu.
Kwa hiyo hilo la mkewe kufa na UKIMWI ni kweli?
Mimi kwa sasa sina comments nangoja kumjua zaidi bwana Pinda .
Mimi nafikiri kuwa na VVU si issue,kwani ni hali kama walivyo wenye vimelea vya malaria, na wavuta sigara. Cha muhimu ni utendaji kazi.Jamani wanaJF Pinda atatuletea mabadiliko yale tunayo tarajia, hana simile kwenye masuala ya msingi, ni mzalendo halisi, si mtu wa kulea uozo, wala kujilimbikizia mali kama Mbunge wa Monduli ila shida iliyopo ni Muathirika tuombe ugonjwa usimchukue haraka....
wakati mke wa mp anafariki walikuwa wameishatengana (sifahamu kama ilikuwa divorce au separation)
mkuu huyu kama sikosei alishawahi kuhusika na bodi ya tenda ya serikali sasa sijui huko kama alikuwa safi au alichota nadhani wapo wenye data kamili
Hilo la kuwa hana MKE ni kweli najua huyu jamaa hana mke lakini sijui kama ni MHUNI na sijui kilichomuua mkewe ni nini zidi tu ya kujua kuwa alikufa baada ya "kuugua kwa muda mrefu"(whatever that means nowadays)
Sasa hili litazusha maneno ya kila namna na najua kuwa mnaotaka kumjua kwa kila namna mtaanza kuuliza membo mengi tuu ila mindhali kila mtu anauliza maswali basi nami nimeona si vibaya nikauliza:
JE TUNA UHAKIKA NA AFYA YA WAZIRI WETU MKUU MPYA?
JE HAWA MAWAZIRI NI NANI ANAWAKATIA LIFE INSURANCE ?
AT WHAT COST?
hayo tu ndio maswali yangu kwa sasa
kwa huyu rais tuliyenaye you cant rule anything out
Hilo la kuwa hana MKE ni kweli najua huyu jamaa hana mke lakini sijui kama ni MHUNI na sijui kilichomuua mkewe ni nini zidi tu ya kujua kuwa alikufa baada ya "kuugua kwa muda mrefu"(whatever that means nowadays)
Hakuna swala la trivialization, ulimuona kwenye confirmation speech kaka? Suti na vest with no shirt uliona wapi mazee? .Huyu sio brotherman mpiga disko au muuza sigara, huyu ni Waziri Mkuu na inabidi avae as such.
Unaweza kwenda Paris Club watu wakakupiga bao sababu ya issues za presentation tu, kwa hiyo siyo trivial hata siku moja.Si lazima awe flashy and all that, hatutafuti supermodel vitu vya kawaida vinavyoendana tu, kama jacket shirt and tie, even a jacket with a shirt and no tie au hata suti za kichina il mradi kitu kinachoeleweka, siyo jacket and vest, labda kama anataka kuwa Andre 3000 wa fashion TZ.
.......kafara you are very right.............na umenikumbusha kitu
..........kuna issue/scandal ya ununuzi wa magari ya serikali kwa ajili ya TAMISEMI..........Tanzania nzima!!..............DON Manji ndio alikuwa sole agent wa ku-supply hayo magari........MP akiwa Waziri husika.........
Kwa hiyo wana JF..........tumuangalie vema huyu MP kwa yale atakayokuwa anwajibika nayo............kwa sababu haya mambo ya Zabuni....ndio hayo hayo yaliyomfanya EL awepo alipo sasa
Waziri mkuu mteule amesema mke wake alikuwa mbali (yaani hakuhudhuria bunge wakati wa kuthibitishwa na Bonge) kwa kuwa hakujua kwamba mambo yangekuwa hivyo yalivyo!!!
Kwa hiyo ana Mke!!! confirmed kutoka kwenye mdomo wake... hayo mengine ... tumuachia game theory...
Siku hizi usiombe mke wako akutangulie.... mambo yanakuwa ya ku-nyanyapaliwa...
Jamani wanaJF Pinda atatuletea mabadiliko yale tunayo tarajia, hana simile kwenye masuala ya msingi, ni mzalendo halisi, si mtu wa kulea uozo, wala kujilimbikizia mali kama Mbunge wa Monduli ila shida iliyopo ni Muathirika tuombe ugonjwa usimchukue haraka....
Mkuu, CV yake inaonyesha amefanya kazi Ikulu toka zama za JKN, AHM, na BWM kama Private Sec. Kama ni ukaribu na Mkapa ni kwa kikazi, na si kama inavyotafsiriwa. Jamaa hana time na mambo makubwa, ni mtu wa low profile na maisha ya kawaida sana. Kwa hiyo kama ukaribu na BWM basi yu karibu pia na JKN aliyemtoa Sheria na kupeleka Ikulu, ila tu yeye ni marehemu.