Who is MIZENGO PINDA? (private & Public)

Who is MIZENGO PINDA? (private & Public)

Kikwete yuko muda mrefu katika system je kuna mtu anaye data zake za kujilimbikizia mimali ya wamasikini kama Lowasa,Mramba,Meghji,Mgonja.Msuya,Mungai the list is ndefu.

2413wp3.gif
 
...sitegemei chochote kwa huyu jamaa zaidi ya kuwa another replacement,anawezekana ni mtendaji mzuri kwa ile system ambayo imetufikisha hapa tulipo lakini sijui kama ana substance yoyote kubadilisha ule utendaji wa serikali uliojaa mafisadi,no idea ni mtu wa namna gani lakini vaa yake tuu na ile speech anaonekana hana exposure yeyote zaidi ya mpanda na Dar es salaam,hajaongea chochote zaidi ya kujipendekeza/kushukuru kwa waliomfikisha hapo lakini sijasikia chochote kuhusu nchi yetu...hii choice wazee we're doomed with the same,mabadiliko tusahau na kama style ya serikali ni file kwa sasa msitegemee high tech na watu kama hawa.
 
Hivi Pinda hakujua hata kwamba hapo Dar kuna Open University? Tokea mwaka
1974 yaani hata post graduate certificate hakuna?

Pamoja na experience lakini kujiendeleza hata kwa courses fupi fupi ni muhimu sana.

Wakati huo kulikuwa hata hakuna globalization, hakuna mafisadi toka nje, je bado LLB yake ya mlimani mwaka 1974 ina nguvu sasa?

Jamani tuwe tunajiendeleza hata kama ni kidogo kidogo. Inaelekea jamaa ni
type ya JK.

Labda amehudhuria courses zingine mbalimbali ila hajaandika tu.
 
Sasa GT mbona sijakuelewa vizuri, kwani hawa mawaziri si wanapimwa kila wakati kujua afya zao sasa wewe kwenye yote ya huyu mkuu, unaulizia afya yake tu?.......... Why?

Wewe GT una maneno wewe....!
 
Kwa hiyo hilo la mkewe kufa na UKIMWI ni kweli?

Jamani wanaJF Pinda atatuletea mabadiliko yale tunayo tarajia, hana simile kwenye masuala ya msingi, ni mzalendo halisi, si mtu wa kulea uozo, wala kujilimbikizia mali kama Mbunge wa Monduli ila shida iliyopo ni Muathirika tuombe ugonjwa usimchukue haraka....
 
JF kwa data ndio wenyewe. Lakini kuwa Muathirika sio hoja bora haambukizi wengine na pia haumwi.

Muhimu ni utendaji wa kazi.
 
Mimi kwa sasa sina comments nangoja kumjua zaidi bwana Pinda .

Lunyungu pole sana nasikia umejirusha sana baada ya Lowassa kubwaga manyanga bro.... ukashindwa hata kutupa yaliyojili sababu ulikuwa na extended hang over....duuu...pole pole kaka
 
Jamani wanaJF Pinda atatuletea mabadiliko yale tunayo tarajia, hana simile kwenye masuala ya msingi, ni mzalendo halisi, si mtu wa kulea uozo, wala kujilimbikizia mali kama Mbunge wa Monduli ila shida iliyopo ni Muathirika tuombe ugonjwa usimchukue haraka....
Mimi nafikiri kuwa na VVU si issue,kwani ni hali kama walivyo wenye vimelea vya malaria, na wavuta sigara. Cha muhimu ni utendaji kazi.
 
wakati mke wa mp anafariki walikuwa wameishatengana (sifahamu kama ilikuwa divorce au separation)

mkuu huyu kama sikosei alishawahi kuhusika na bodi ya tenda ya serikali sasa sijui huko kama alikuwa safi au alichota nadhani wapo wenye data kamili
 
.......kafara you are very right.............na umenikumbusha kitu

..........kuna issue/scandal ya ununuzi wa magari ya serikali kwa ajili ya TAMISEMI..........Tanzania nzima!!..............DON Manji ndio alikuwa sole agent wa ku-supply hayo magari........MP akiwa Waziri husika.........

Kwa hiyo wana JF..........tumuangalie vema huyu MP kwa yale atakayokuwa anwajibika nayo............kwa sababu haya mambo ya Zabuni....ndio hayo hayo yaliyomfanya EL awepo alipo sasa
 
Hilo la kuwa hana MKE ni kweli najua huyu jamaa hana mke lakini sijui kama ni MHUNI na sijui kilichomuua mkewe ni nini zidi tu ya kujua kuwa alikufa baada ya "kuugua kwa muda mrefu"(whatever that means nowadays)

Sasa hili litazusha maneno ya kila namna na najua kuwa mnaotaka kumjua kwa kila namna mtaanza kuuliza membo mengi tuu ila mindhali kila mtu anauliza maswali basi nami nimeona si vibaya nikauliza:

JE TUNA UHAKIKA NA AFYA YA WAZIRI WETU MKUU MPYA?

JE HAWA MAWAZIRI NI NANI ANAWAKATIA LIFE INSURANCE ?

AT WHAT COST?

hayo tu ndio maswali yangu kwa sasa

Niliwahi kufundishwa na shemeji yake huyu Mheshimiwa...na kati ya mwaka 90 na 91 (nafikiri ni 91) alifiwa na mke na mtoto/watoto kwa wakati mmoja. Mkewe (wa wakati huo) alikuwa ni dada wa huyu Mwl aliyenifunza pale Bunge.

Kwa upande wa afya...ufuska ni tabia ya mtu na si qualification/disqualification ya uongozi. Iliwahi kuvumishwa kuwa Muungwana alikuwa amekanyaga kwani ni fuska lakini naona anadunda tu. Yaani hata ktk mataifa yaliyoendelea, viongozi fuska wapo tu na mambo sio mabaya (Clinton, na hata kwa sasa Nicolas Sarkozy wa France). Jasusi amesema tunachokihitaji, new ideas na sio porojo. Hata mh. mwenyewe amekiri kuwa yeye si mwanasiasa (lakini akaharibu aliposema amefanya kazi chini ya wanasiasa) hivyo tumpe muda afanye kazi yake kabla ya kumhukumu.
 
Hilo la kuwa hana MKE ni kweli najua huyu jamaa hana mke lakini sijui kama ni MHUNI na sijui kilichomuua mkewe ni nini zidi tu ya kujua kuwa alikufa baada ya "kuugua kwa muda mrefu"(whatever that means nowadays)

Waziri mkuu mteule amesema mke wake alikuwa mbali (yaani hakuhudhuria bunge wakati wa kuthibitishwa na Bonge) kwa kuwa hakujua kwamba mambo yangekuwa hivyo yalivyo!!!

Kwa hiyo ana Mke!!! confirmed kutoka kwenye mdomo wake... hayo mengine ... tumuachia game theory...

Siku hizi usiombe mke wako akutangulie.... mambo yanakuwa ya ku-nyanyapaliwa...
 
Hakuna swala la trivialization, ulimuona kwenye confirmation speech kaka? Suti na vest with no shirt uliona wapi mazee? .Huyu sio brotherman mpiga disko au muuza sigara, huyu ni Waziri Mkuu na inabidi avae as such.

Unaweza kwenda Paris Club watu wakakupiga bao sababu ya issues za presentation tu, kwa hiyo siyo trivial hata siku moja.Si lazima awe flashy and all that, hatutafuti supermodel vitu vya kawaida vinavyoendana tu, kama jacket shirt and tie, even a jacket with a shirt and no tie au hata suti za kichina il mradi kitu kinachoeleweka, siyo jacket and vest, labda kama anataka kuwa Andre 3000 wa fashion TZ.

Madiba alipoanza kuvaa mashati yake walimsema sana. Sasa limekuwa vazi la heshima. Mwalimu na 'Chou in lai' zake, hakuna aliyemsema, tulimzoea. Wolfowitz anavaa soksi zenye matundu lakini hakuna anayebisha intellect yake. Sasa vazi la waziri mkuu ni lipi? Suti za Armani? Muache a'form identity yake'. Mimi hata akija na msuli, ili mradi akaonyesha uadilifu kazini na uwezo makini wa kuunganisha jamii ya kitanzania sina tatizo nae. Pengine tunahitaji Andre 3000 wetu anayejua hali ya watanzania na aliye accessible na watu. Naamini huko Paris Club ( si anaenda waziri wa fedha huko na si PM)wanaheshimu intellect na sio mavazi. Muacheni kwanza tuone uwezo wake. Huko kupanga pamba kutakuja au hakutakuja.Could't care less!
 
.......kafara you are very right.............na umenikumbusha kitu

..........kuna issue/scandal ya ununuzi wa magari ya serikali kwa ajili ya TAMISEMI..........Tanzania nzima!!..............DON Manji ndio alikuwa sole agent wa ku-supply hayo magari........MP akiwa Waziri husika.........

Kwa hiyo wana JF..........tumuangalie vema huyu MP kwa yale atakayokuwa anwajibika nayo............kwa sababu haya mambo ya Zabuni....ndio hayo hayo yaliyomfanya EL awepo alipo sasa

Iwe iwavyo huyu bwana hawezi kuwa clean, kwanza amethibitishwa kwa kura nyingi zikiwamo za wapinzani lakini katika shukrani hakuweza kutoa shukrani hizo kwa wapinzani kuwa nao wamesaidia, pili ile tu kumsifia BWM ni mistake number one and it will cost us,hiyo inatuonyesha kuwa atafuata nyayo za huyo amsifuye kuwa kamfundisha kazi, lakini ngoja tuone na watu atakaopewa
 
Waziri mkuu mteule amesema mke wake alikuwa mbali (yaani hakuhudhuria bunge wakati wa kuthibitishwa na Bonge) kwa kuwa hakujua kwamba mambo yangekuwa hivyo yalivyo!!!

Kwa hiyo ana Mke!!! confirmed kutoka kwenye mdomo wake... hayo mengine ... tumuachia game theory...

Siku hizi usiombe mke wako akutangulie.... mambo yanakuwa ya ku-nyanyapaliwa...

MP ANAYE MKE SASA..LAKINI ITS TRUE KUWA MKE WAKE WA KWANZA ALIFARIKI KWA MARADHI[SIO LAZIMA MFIKIRIE VILE]..TENA HILI NILIPATA KUAMBIWA NA SHEMEJI YAKE AMBAYE ALIKUWA KAMUOA HUYO DADA YAKE ALIYEFARIKI....ZAMANI KABLA HATA MP HAJAWA MAARUFU..

CHA KUCHEKESHA NI WHAT WILL LATER BE A TEST ON HIS FAITHFULNESS KWENYE MAMBO YA FAMILIA...INASEMEKANA KUWA BAADA YA MKEWE KUFA ALIMUOA MDOGO WAKE NA MAREHEMU MKEWE ..AMABAYE NDIYE MKE ALIYE NAYE SASA....KAMA KUNA MWANA JF ANAJUA ZAIDI KUHUSU HAYA NA AJE ILI TUWEKE RECORD YA HUYU JAMAA VIZURI.....
 
Hakuna jambo baya kama kuwa na PM asiyekuwa na stable family- je leo saa 5 wakati wa kuapishwa, Mke wake atakuwepo?

Tunaomba nyeti za family issues zake!
 
Jamani wanaJF Pinda atatuletea mabadiliko yale tunayo tarajia, hana simile kwenye masuala ya msingi, ni mzalendo halisi, si mtu wa kulea uozo, wala kujilimbikizia mali kama Mbunge wa Monduli ila shida iliyopo ni Muathirika tuombe ugonjwa usimchukue haraka....

KWA HILI LA HEALTH STATUS ..KWELI NI MUHIMU..LAKINI SI TULISHAKUBALIANA MTU HAWEZI KUNYIMWA KAZI KWA AJILI HIYO???...TUKIENDA HUKO BASI HATA WENYE KISUKARI NA PROSTATE TUWANYIME???....LAKINI UADILIFU WA KIFAMILIA NI MUHIMU..TUKUBALIANE HAPO...

HILO LA HEALTH STATUS HATA MUUNGWANA ALIPOTANGAZA KUGOMBEA SI ALISEMA WANAMPAKAZIA..SO KILE KIPIMO CHA KWENYE HEMA KILIKUWA CHANGA LA MACHO????

BASI ITAKUA KAZI MAANA NAMBA MOJA MTASEMA MUATHIRIKA...NAMBA MBILI ANAUMWA FIGO..NAMBA TATU TENA MSEME MUATHIRIKA....NAFIKIRI LA MUHIMU NI KUCHAPA KAZI...!!!

HATA MALARIA NI UGONJWA HATARI...MUNGU NDIYE ANAJUA!!!
 
Mkuu, CV yake inaonyesha amefanya kazi Ikulu toka zama za JKN, AHM, na BWM kama Private Sec. Kama ni ukaribu na Mkapa ni kwa kikazi, na si kama inavyotafsiriwa. Jamaa hana time na mambo makubwa, ni mtu wa low profile na maisha ya kawaida sana. Kwa hiyo kama ukaribu na BWM basi yu karibu pia na JKN aliyemtoa Sheria na kupeleka Ikulu, ila tu yeye ni marehemu.

LET US WAIT AND SEE!! MADARAKA NI KITU KINGINE...
 
Back
Top Bottom