Who is next ?

Very soon nyie woote mtakuwa wageni wa The Hague
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swala sio kuzuiwa kuingia usa , swala kubwa ni sababu zilizo tolewa.

Wameitangazia dunia kwamba Tanzania kuna kiongozi aliye karibu na mtukufu anaye wapokonya watanzania haki ya kuishi kwa maana nyingine anaua watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bogus.

Sent using Intercontinental Ballistic Missile
 

Mkuu unajua kusoma kiingereza?

Sent using Intercontinental Ballistic Missile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…