Who is next ?

Who is next ?

Oktoba, 2020 CCM itaendelea kuwa madarakani. Hakuna kibaraka ataongoza nchi hii hata azungukwe na mashoga na wasagaji wa Marekani yote!
Sahihi kabisa! Ila chini ya Raisi mwingine. Kuna wenye akili na Hakuna wengi sana ndani ya CCM.

Hili kundi la sasaivi inatosha kuwa madarakani. Ndani ya miaka 4 wameharibu kabisa taifa letu. Yaaani leo Tanzania a great East African Nation raia wake wanawekewa travel ban Marekani???
Hapana
 
Kwani Makonda asipoenda USA anapjngukiwa nini? Mbona hao Wamarekani bado wamejazana kwenye mkoa unaoongozwa na huyo Makonda? Si waondoke hapo Dar? Wapumbavu tu hao!
Makontena ya madawati ya kuzugia kuingiza bidhaa bila kulipia ushuru atapata wapi? Kilangila.
 
Kuwa na guts na wewe pia kuiangalia hii clip kuhusu Amerika. Kwanini tuandikie mate wakati wino upo?
Amerika kiuchumi hawana kitu. Na nikikuambia kuwa hawana kitu namaanisha kweli hawana kitu. Na ni corrupt Country haina mfano. Kutengeneza magari hawajui wala simu. Vitu vingi vinatoka Europe na Asia hasa China. Hata vifaa vingi vya Satellites zao vinatengenezwa na wa european. Kufanya biashara hawawezi, wanazilazimisha nchi nyingine zitumie hela yao katika biashara.


Wanawanyonya sana watu wao mpaka basi tena. Ni wezi tu wakubwa hao, ni wezi ambao wanawatumia wanachi wao ku finance mabank yao ambayo kazi yake ni casinos. Na makampuni yao ya magari ambayo yamekuwa scrap na hakuna mtu anayataka labda wao wenyewe.

Wamejaribu mara mbili ku i-ruin VW (Volkswagen) wameshidwa. Serikali yao inatumia mafia methodes kuzipa pressure kampuni za nje kama VW ambazo zina jitahidi kutengeneza magari ya high tec. Wao wenyewe kuwekeza kwenye utafiti wa kutengeneza magari yenye engines ambazo ni rafiki kwa mazingira hawataki kazi yao ni kucheza kamari tu ma hela za damu ya watu.

Kwenye Engineering Departments za makampuni ya kutengeneza magari za wajerumani wanawacheka sana waamerika. Wanaona Engineering yao ya magari ni "schrott" yaani takataka. Wajerumani wanayaita magari yao "Umweltverschmutzer" yaani ni magari yanayo haribu mazingira.

Ukienda kwenye kampuni ya kutengeneza magari ya OPEL, huko mjini Russelsheim Ujerumani, utakutana na ma engineer kibao waamerika ambao wengine walikuwa wakifanya kazi huko Detroit Amerka kwenye makampuni ya Ford na GM Amerika. Na ulimwenguni magari ya aina ya Ford yanayokubalika sana ni yale yenye high tec ya kijerumani.

Vile vile waamerika hawani high speed train hata moja. Trains zao nyingi ni za kizamani ambazo zina average speed ya 35 miles per hour. Hiki nini? Si haibu tu kuzizungumzia? Wajerumani na wafaransa wanatengeneza Trains babu kubwa kiasi kwamba kusafiri nazo unafikiri uko hewani. Zina raha kuliko hata ndege.

Nitafurahi sana kama serikali ya Magufuli kwenye hii SGR watakuwa wameagiza treni kutoka ujerumani au hata Ufaransa. Za wajerumani ni safi zaidi, hasa hizi wanazo ziita ICE4. Ni train babu kubwa sana. Ebu oneni wenyewe hapa kwenye hii clip;
Mimi sielewi kwa nini watanzania kinawafanya waipende Amerika. Sioni sababu ya kusikita kutopata Visa ya kwenda Amerika. Hawawezi kitu.

Watanzania tusikubali washenzi hawa watuharibia maendeleo yetu.

You have guts kwakweli, unaiongelea Marekani kama kijiji flani hivi huko Sumbawanga ndanini.

Sent using Jamii Forums mobile app




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom