Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Nalijua hilo, lakini hana mandate ndani ya sovereign state. Unajua kwanini pamoja na kutowapenda Kim Jong Un, Nicolas Maduro na Mzee Mugabe lakini hawakuwahi kuingia kwenye nchi zao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nalijua hilo, lakini hana mandate ndani ya sovereign state. Unajua kwanini pamoja na kutowapenda Kim Jong Un, Nicolas Maduro na Mzee Mugabe lakini hawakuwahi kuingia kwenye nchi zao?
Hapa hakuna cha jibu.
Oktoba, 2020 CCM itaendelea kuwa madarakani. Hakuna kibaraka ataongoza nchi hii hata azungukwe na mashoga na wasagaji wa Marekani yote!
Taarifa za chini chini zinadokeza kwamba anayefuatia kupigwa pini anatokea ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .
Je ni nani ?
Hakika .

hivi ni kichwa au kiatu mchina anayekuja kwako kujenga barabara anakunyima ujuzi unakuwa kibarua anakupa bonanza unamrudishia pesa zake mchina huyu amabaye nje ni social ndani ni capitalist akili zako kweli zimegota asia sio watu
Wameharibu mfumo wa utawala bora alafu bado wanatafuta kiki kwenda kustarehe marekan mfyxuuuuuuuu
U.S iendelee kupiga bun tu mpaka akili ziwakae vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni hatari mpaka ile VISA ya kuingiza washindi 50. Washiriki toka Tz wamepigwa bun si mchezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi kabisa! Ila chini ya Raisi mwingine. Kuna wenye akili na Hakuna wengi sana ndani ya CCM.Oktoba, 2020 CCM itaendelea kuwa madarakani. Hakuna kibaraka ataongoza nchi hii hata azungukwe na mashoga na wasagaji wa Marekani yote!
Kwani Makonda asipoenda USA anapjngukiwa nini? Mbona hao Wamarekani bado wamejazana kwenye mkoa unaoongozwa na huyo Makonda? Si waondoke hapo Dar? Wapumbavu tu hao!
Taarifa za chini chini zinadokeza kwamba anayefuatia kupigwa pini anatokea ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .
Je ni nani ?
Taarifa za chini chini zinadokeza kwamba anayefuatia kupigwa pini anatokea ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .
Je ni nani ?
ndio tayari hivyo
Makontena ya madawati ya kuzugia kuingiza bidhaa bila kulipia ushuru atapata wapi? Kilangila.Kwani Makonda asipoenda USA anapjngukiwa nini? Mbona hao Wamarekani bado wamejazana kwenye mkoa unaoongozwa na huyo Makonda? Si waondoke hapo Dar? Wapumbavu tu hao!
You have guts kwakweli, unaiongelea Marekani kama kijiji flani hivi huko Sumbawanga ndanini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kusubiri dodo chini ya mchongoma!