Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Oktoba,2020 sio mbali dogo!Ccm siku zenu za kuishi hapa duniani kisiasa zina hesabika na hiyo October mtakuwa wote kule The Hague
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oktoba,2020 sio mbali dogo!Ccm siku zenu za kuishi hapa duniani kisiasa zina hesabika na hiyo October mtakuwa wote kule The Hague
Sent using Jamii Forums mobile app
What's a travel ban?Sahihi kabisa! Ila chini ya Raisi mwingine. Kuna wenye akili na Hakuna wengi sana ndani ya CCM.
Hili kundi la sasaivi inatosha kuwa madarakani. Ndani ya miaka 4 wameharibu kabisa taifa letu. Yaaani leo Tanzania a great East African Nation raia wake wanawekewa travel ban Marekani???
Hapana
Wakati huo mtakuwa mnanyea debe kule ICCOktoba,2020 sio mbali dogo!
Huo muda tumeutoa wapi? Wataondoka wenyewe!
Usisahau kuwa ninazihifadhi hizi sms. Nitakukumbusha baada ya Oktoba. Kuna mwenzako Technically alitangaza humu kuwa atafungua kesi dhidi ya kufunga laini za simu, mpaka leo ukimuuliza anajifanya hajaona. Nakusubiria na wewe. Ila kwa Sawa endelea kujimwambafai tea jimwambafai kweri kweri muda bado unao!
Huna lolote !Huo muda tumeutoa wapi? Wataondoka wenyewe!
Uzalendo ni nini ?tutumie uzalendo kuchambua jamani hata mm nakili kuwa na ushabiki wa kijinga,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio tatizo kwenda marekani wasiwasi wa makonda mpaka sasa nikupandishwa ndege na kupelekwa uholanzi ktk mahakama za kimataifa ICC na kwenda kunyongwa kama yy alivokua akitoa uhai wa watuKwani Makonda asipoenda USA anapjngukiwa nini? Mbona hao Wamarekani bado wamejazana kwenye mkoa unaoongozwa na huyo Makonda? Si waondoke hapo Dar? Wapumbavu tu hao!
Anapelekwa na nani? Amefanya kosa gani?Sio tatizo kwenda marekani wasiwasi wa makonda mpaka sasa nikupandishwa ndege na kupelekwa uholanzi ktk mahakama za kimataifa ICC na kwenda kunyongwa kama yy alivokua akitoa uhai wa watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata chupi uliyovaa wao ndiyo walikufundisha kuivaa.Kwani Makonda asipoenda USA anapjngukiwa nini? Mbona hao Wamarekani bado wamejazana kwenye mkoa unaoongozwa na huyo Makonda? Si waondoke hapo Dar? Wapumbavu tu hao!
Nimeghairi nilichotaka kukujibu.Hata chupi uliyovaa wao ndiyo walikufundisha kuivaa.
Mwambie awafukuze wamarekani aone cha moto, kutoenda America kwa Bashite anapungukiwa sana kwani haaminiki kwenye jumuia ya kimataifaKwani Makonda asipoenda USA anapjngukiwa nini? Mbona hao Wamarekani bado wamejazana kwenye mkoa unaoongozwa na huyo Makonda? Si waondoke hapo Dar? Wapumbavu tu hao!
NdungaiTaarifa za chini chini zinadokeza kwamba anayefuatia kupigwa pini anatokea ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .
Je ni nani ?
Wamarekani wamekerwa na Tabia ya kuwabambikia kesi kibao wapinzaniSoon tunachezea vikwazo nchi nzima.
Usisahau kuwa ninazihifadhi hizi sms. Nitakukumbusha baada ya Oktoba. Kuna mwenzako Technically alitangaza humu kuwa atafungua kesi dhidi ya kufunga laini za simu, mpaka leo ukimuuliza anajifanya hajaona. Nakusubiria na wewe. Ila kwa Sawa endelea kujimwambafai tea jimwambafai kweri kweri muda bado unao!
Oktoba,2020 sio mbali dogo!