Who is next ?

Who is next ?

Sahihi kabisa! Ila chini ya Raisi mwingine. Kuna wenye akili na Hakuna wengi sana ndani ya CCM.

Hili kundi la sasaivi inatosha kuwa madarakani. Ndani ya miaka 4 wameharibu kabisa taifa letu. Yaaani leo Tanzania a great East African Nation raia wake wanawekewa travel ban Marekani???
Hapana
What's a travel ban?
 
Wakati huo mtakuwa mnanyea debe kule ICC

Sent using Jamii Forums mobile app
Usisahau kuwa ninazihifadhi hizi sms. Nitakukumbusha baada ya Oktoba. Kuna mwenzako Technically alitangaza humu kuwa atafungua kesi dhidi ya kufunga laini za simu, mpaka leo ukimuuliza anajifanya hajaona. Nakusubiria na wewe. Ila kwa Sawa endelea kujimwambafai tea jimwambafai kweri kweri muda bado unao!
 
Kwani Makonda asipoenda USA anapjngukiwa nini? Mbona hao Wamarekani bado wamejazana kwenye mkoa unaoongozwa na huyo Makonda? Si waondoke hapo Dar? Wapumbavu tu hao!
Sio tatizo kwenda marekani wasiwasi wa makonda mpaka sasa nikupandishwa ndege na kupelekwa uholanzi ktk mahakama za kimataifa ICC na kwenda kunyongwa kama yy alivokua akitoa uhai wa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Makonda asipoenda USA anapjngukiwa nini? Mbona hao Wamarekani bado wamejazana kwenye mkoa unaoongozwa na huyo Makonda? Si waondoke hapo Dar? Wapumbavu tu hao!
Hata chupi uliyovaa wao ndiyo walikufundisha kuivaa.
 
Kwani Makonda asipoenda USA anapjngukiwa nini? Mbona hao Wamarekani bado wamejazana kwenye mkoa unaoongozwa na huyo Makonda? Si waondoke hapo Dar? Wapumbavu tu hao!
Mwambie awafukuze wamarekani aone cha moto, kutoenda America kwa Bashite anapungukiwa sana kwani haaminiki kwenye jumuia ya kimataifa
 
Wakati huo nani atakuruhusu kutumia simu ukiwa kwenye lupango ya Guantanamo?

Back
Top Bottom