Who is next ?

Who is next ?

Kwa hiyo mapembe yamekuwa wanatutandika vichwa
tulikosea sana kuyaita haya madau ''Mababeru''.
sasa yameanza ubeberu wao.

yaani kumkatalia mtu asiingie nchini kwao tu, nchi inataka kusimama mitandaoni
 
Ni matokeo ya kiburi cha jiwe, mabeberu walimwambia asijenge stigler goji kwa faida ya dunia akang'ang'ania kujenga.
Ni umasikini tu, faida gani itakayopata Dunia kwa kuzuia stigler? Wao wako tayari kubadili chochote kwaajili ya faida ya wao na vizazi vyao tu.

Uharibu mkubwa wa mazingira unaozungumzwa duniani unatokana na viwanda, Dunia ikaamua kuwa na mkataba wa kupunguza viwanda ili kupunguza athari hizo, USA alikubali kusaini na kupunguza viwanda kama ilivyoamuliwa na mkutano ule wa Kyoto-Japan?

Hatua gani zilichukuliwa dhidi yake?

Silaha nzito zitumikazo kwenye vita, nani muhusika wa hizo vita na biashara za silaha?

Sikubaliani na uvunjifu wa haki za binadamu na uhuru wa kuishi kwa mujibu wa taratibu za kibinadamu kama ilivyokusudiwa tangu uumbaji.....

Ama tuvue gamba, mbegu ioze au yai lipasuke ili maisha mapya yaanze.
 
Kwani Makonda asipoenda USA anapjngukiwa nini? Mbona hao Wamarekani bado wamejazana kwenye mkoa unaoongozwa na huyo Makonda? Si waondoke hapo Dar? Wapumbavu tu hao!
Kuna fursa RC anazikosa. Bado kijana mwenye ndoto, leo akipata ubunge /uwaziri /urais maana yake majukumu kama yatahitaji akafanye ndani ya US basi hawezi tena. So tuwe makini badala ya kumpotosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taarifa za chini chini zinadokeza kwamba anayefuatia kupigwa pini anatokea ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .

Je ni nani ?
mmm hapo unahitaji akili za kuvukia barabra tu! lakini atakwenda Asia huko wana matibabu mazuri. pia mzingira ya upigaji yako poa
 
Safi sana Marekani, zuia takataka zote zinazoeneza upumbavu. Bado zipo takataka nyingi kama hilo walilolizuia kuingia Marekani.
 
Yule jaji anayeshupalia Lissu afikishwe mahakamani ajibu tuhuma za uchochezi ajiangalie.
Marekani wanataka kuondoa vikwazo vyote vya kumzuia Lissu kuja kugombea urais.
 
Ni viongozi wangapi wa awamu ya 5 walionyang'anya haki ya watu kuishi ?
 
Wewe ndiye mpumbavu mbwege mtozeni. Kuna zaidi ya watu 1000 waliozuiliwa kuingia Marekani. Umeishasikia wamepungukiwa kitu? Watu washamba kama ninyi ndio mnashoboka na Marekani!
Njoo ufanyiwe maombi
 
Kwani Makonda asipoenda USA anapjngukiwa nini? Mbona hao Wamarekani bado wamejazana kwenye mkoa unaoongozwa na huyo Makonda? Si waondoke hapo Dar? Wapumbavu tu hao!

Lakini kwanini so Makonda, sio waziri wa Mambo ya nje, wala mwajiri wake / msemaji wa serikali wameonyesha kukerwa na hii ban ya muheshimiwa Makonda?
 
Back
Top Bottom