Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atashinda nini na anashindana na nani?
Unaifahamu list nzima ya waliofungiwa au kuwahi kufungiwa? Nani aliishaathirika na kufungiwa huko? Msio na akili kama wewe ndio mnalibebea bango hili.Wewe huna akili na waliokuzaa wana hasara sana...
Huo ni Ujumbe kwa dunia nzima na wanaomtuma
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemsahau subwooferMy wish list.
..IGP.
..DPP.
..RPC Dsm.
..RPC Dodoma.
..Mwigulu Nchemba.
..Kangi Lugola.
..Suleiman Jafo.
Kabendera is getting what is right to him. Kwani wewe hujui hao Wamarekani wanamtafuta Snowden, Marekani mwenzao wamshughulikie kwa makosa kama ya Kabendera? Thanks God the Russians saved him!Tumeshazoea maana haya mnapoongiza ninyi sisi ni shida, kuuawa na kutekwa kama kawaida. Hivyo kwetu itakuwa kawaida. Kama hujui watu wanateseka kamuulize Kabendera
Hakuna Taifa linaweza kushindana na Marekani Diniani kote!tulikosea sana kuyaita haya madau ''Mababeru''.
sasa yameanza ubeberu wao.
yaani kumkatalia mtu asiingie nchini kwao tu, nchi inataka kusimama mitandaoni
Noma sana!Jiwe alikosea kuanza kila kitu upya kama vile ndo tumetoka kupataa uhuru. Mambo ya ubeberu yalimshinda Nyerere tukapanga foleni ya unga JPM anayaanzisha tena.
😃😃Kabudi,Kabudi,Kabudi
😃😃😃😃😃😃😃😃
kwakweli lazima tu vuneHaya ni matokeo ya mbegu tulizopand wenyewe
kwa kweli akili hana... haujamtukana umemuambia kitu ambacho ni uhalisiaHuna akili wewe. Samahani kwa kukutukana.
Ndugu usijiaminishe kwenye hili. Hakuna uchaguzi mgumu kama wa mwaka huu.Wewe ndio unaona hivyo. Sasa subiri Oktoba, ndio utaijua CCM ni NAMBARI WANI!
Labda ni andunjeTaarifa za chini chini zinadokeza kwamba anayefuatia kupigwa pini anatokea ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .
Je ni nani ?
Umemsahau subwoofer
Hivi ninyi nyumbu mbona mnasahau haraka? Mwaka 2015 hamkusema lazima mabadiliko yatokee hata kwa kuchagua jiwe? Ikawaje? Endelea kutamba kwakuwa uchaguzi bado uko mbali, lakini baada ya uchaguzi, jipange kwa hoja za kuibiwa kura na tumezizoea pia.Ndugu usijiaminishe kwenye hili. Hakuna uchaguzi mgumu kama wa mwaka huu.
aya ya mwisho ndio nzito kuliko zoteFungua hiyo link au una miwenge
U.S. bans Tanzanian official who launched anti-gay crackdown
(Reuters) - The United States said on Friday it banned from visiting the country a Tanzanian official who announced a crackdown on homosexuality in Dar es Salaam in 2018.
The U.S. State Department said it was taking the action against Paul Makonda, administrative chief of the Tanzania capital, "due to his involvement in gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons."
It said Makonda had "also been implicated in oppression of the political opposition, crack-downs on freedom of expression and association, and the targeting of marginalized individuals."
Source
![]()
US sanctions Tanzanian official for targeting gays, others
The United States has sanctioned a Tanzanian official who sparked fear in the gay community by announcing plans to track and punish homosexuals in the East African nation. The U.S. statement Friday said Paul Christian Makonda, regional commissioner for Dar es Salaam, is accused of “targeting...www.sfchronicle.com
Tafuteni kazi ya kufanya , nchi ndio tayari ishakombolewa , masikini wakubwa nyie !Wewe ndio unaona hivyo. Sasa subiri Oktoba, ndio utaijua CCM ni NAMBARI WANI!