Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inamaana Marekani inmuogopa Makonda? Yaani Secretary of the State wa Marekani ndio anatoa tamko la kumzuia Makonda, RC wa Dar es Salaam asiende Marekani? Yaani Secretary of the State anamuogopa RC Makonda? Je, angeambiwa atangaze kumzuia Jiwe? Si angeukimbia Usecretaty of the State? Ahahahahah! Nacheka kwa dharau!Tatizo lenu hamkubali kuwa vichwa vyenu vimejaa uji uji!
Mugabe alikuwa anasemaga hivyo hivyo!
Lakini dunia hii ukifanya ujinga ujinga malipo ni hapa hapa!!
diplomasia, diplomasia, diplomasia.... kabudi na majasusi wetu mlikuwa wapi kunusa na kumwambia mzee amtumbue Makonda kabla dunia haijatangaziwa.
Ili kulinda heshima ya serikali na ya jiwe, na uhai wa ccm, bashite ajiuzulu tu akapumzike kolomije mpaka uchaguzi upite. asijidanyanye na ubunge.
Huna akili wewe. Samahani kwa kukutukana.Inamaana Marekani inmuogopa Makonda? Yaani Secretary of the State wa Marekani ndio anatoa tamko la kumzuia Makonda, RC wa Dar es Salaam asiende Marekani? Yaani Secretary of the State anamuogopa RC Makonda? Je, angeambiwa atangaze kumzuia Jiwe? Si angeukimbia Usecretaty of the State? Ahahahahah! Nacheka kwa dharau!
Unaogopa sasa? Hao ni mabeberu tu hata ufanye nini. Waamerika ni mabeberu. Panga pangua ni mabeberu.tulikosea sana kuyaita haya madau ''Mababeru''.
sasa yameanza ubeberu wao.
yaani kumkatalia mtu asiingie nchini kwao tu, nchi inataka kusimama mitandaoni
Kwakuwa vichwa vyenu vimejaa uji, basi lazima akili yako igote hapa ila subirini kuna makubwa yanakujaInamaana Marekani inmuogopa Makonda? Yaani Secretary of the State wa Marekani ndio anatoa tamko la kumzuia Makonda, RC wa Dar es Salaam asiende Marekani? Yaani Secretary of the State anamuogopa RC Makonda? Je, angeambiwa atangaze kumzuia Jiwe? Si angeukimbia Usecretaty of the State? Ahahahahah! Nacheka kwa dharau!
Funga mdomo we mfuasi fata upepo, jiwe akikusikia unawatukana hao watu hatakuvumilia hata kidogo.mwenzio anapambana apewe $500 we unayatoa tu hapa.kuwa mzalendo😜😜😜😜😜😜😜Kwani Makonda asipoenda USA anapjngukiwa nini? Mbona hao Wamarekani bado wamejazana kwenye mkoa unaoongozwa na huyo Makonda? Si waondoke hapo Dar? Wapumbavu tu hao!
Hamna ubavu huo
My wish list.
..IGP.
..DPP.
..RPC Dsm.
..RPC Dodoma.
..Mwigulu Nchemba.
..Kangi Lugola.
..Suleiman Jafo.
Mbumbumbu katika ubora wako.Kwani Makonda asipoenda USA anapjngukiwa nini? Mbona hao Wamarekani bado wamejazana kwenye mkoa unaoongozwa na huyo Makonda? Si waondoke hapo Dar? Wapumbavu tu hao!
Ulitaka litolewe na m/kiti wa mtaa!!???Inamaana Marekani inmuogopa Makonda? Yaani Secretary of the State wa Marekani ndio anatoa tamko la kumzuia Makonda, RC wa Dar es Salaam asiende Marekani? Yaani Secretary of the State anamuogopa RC Makonda? Je, angeambiwa atangaze kumzuia Jiwe? Si angeukimbia Usecretaty of the State? Ahahahahah! Nacheka kwa dharau!
Nimeona na jina la Mbowe ila akina Mbowe wako wengi labda ni yule wa Ole sabaya!Taarifa za chini chini zinadokeza kwamba anayefuatia kupigwa pini anatokea ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .
Je ni nani ?
Kazi ya ndugaiTaarifa za chini chini zinadokeza kwamba anayefuatia kupigwa pini anatokea ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .
Je ni nani ?
Wale tiss wanoshinda mitandaoni na kutuonea sisi makabwela walishindwa kutambua hili mapema?diplomasia, diplomasia, diplomasia.... kabudi na majasusi wetu mlikuwa wapi kunusa na kumwambia mzee amtumbue Makonda kabla dunia haijatangaziwa.