Who is next ?

Who is next ?

Tatizo lenu hamkubali kuwa vichwa vyenu vimejaa uji uji!
Mugabe alikuwa anasemaga hivyo hivyo!
Lakini dunia hii ukifanya ujinga ujinga malipo ni hapa hapa!!
Inamaana Marekani inmuogopa Makonda? Yaani Secretary of the State wa Marekani ndio anatoa tamko la kumzuia Makonda, RC wa Dar es Salaam asiende Marekani? Yaani Secretary of the State anamuogopa RC Makonda? Je, angeambiwa atangaze kumzuia Jiwe? Si angeukimbia Usecretaty of the State? Ahahahahah! Nacheka kwa dharau!
 
Mzee mwenyewe hua anasema yaani unapojaribu kunishauri ndipo unaharibu kabisaaaa hiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
diplomasia, diplomasia, diplomasia.... kabudi na majasusi wetu mlikuwa wapi kunusa na kumwambia mzee amtumbue Makonda kabla dunia haijatangaziwa.

dodge
 
Sasa usishangae akawa mbunge na akapewa uwaziri wa mambo ya ndani.
Ili kulinda heshima ya serikali na ya jiwe, na uhai wa ccm, bashite ajiuzulu tu akapumzike kolomije mpaka uchaguzi upite. asijidanyanye na ubunge.

dodge
 
Inamaana Marekani inmuogopa Makonda? Yaani Secretary of the State wa Marekani ndio anatoa tamko la kumzuia Makonda, RC wa Dar es Salaam asiende Marekani? Yaani Secretary of the State anamuogopa RC Makonda? Je, angeambiwa atangaze kumzuia Jiwe? Si angeukimbia Usecretaty of the State? Ahahahahah! Nacheka kwa dharau!
Huna akili wewe. Samahani kwa kukutukana.
 
tulikosea sana kuyaita haya madau ''Mababeru''.
sasa yameanza ubeberu wao.

yaani kumkatalia mtu asiingie nchini kwao tu, nchi inataka kusimama mitandaoni
Unaogopa sasa? Hao ni mabeberu tu hata ufanye nini. Waamerika ni mabeberu. Panga pangua ni mabeberu.

Zaidi ya hayo ni majambazi wakubwa. Kila kitu kwao ni ubabe tu. Wakafie mbali huko!

Wewe subiri wachina waki introduce digital money hapo ndiyo waamerika watakuwa wamekwisha kabisa. Wana nini cha ku offer zaidi ya silaha? Amerika ni scrap!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inamaana Marekani inmuogopa Makonda? Yaani Secretary of the State wa Marekani ndio anatoa tamko la kumzuia Makonda, RC wa Dar es Salaam asiende Marekani? Yaani Secretary of the State anamuogopa RC Makonda? Je, angeambiwa atangaze kumzuia Jiwe? Si angeukimbia Usecretaty of the State? Ahahahahah! Nacheka kwa dharau!
Kwakuwa vichwa vyenu vimejaa uji, basi lazima akili yako igote hapa ila subirini kuna makubwa yanakuja
 
Kwani Makonda asipoenda USA anapjngukiwa nini? Mbona hao Wamarekani bado wamejazana kwenye mkoa unaoongozwa na huyo Makonda? Si waondoke hapo Dar? Wapumbavu tu hao!
Funga mdomo we mfuasi fata upepo, jiwe akikusikia unawatukana hao watu hatakuvumilia hata kidogo.mwenzio anapambana apewe $500 we unayatoa tu hapa.kuwa mzalendo😜😜😜😜😜😜😜
 
Inamaana Marekani inmuogopa Makonda? Yaani Secretary of the State wa Marekani ndio anatoa tamko la kumzuia Makonda, RC wa Dar es Salaam asiende Marekani? Yaani Secretary of the State anamuogopa RC Makonda? Je, angeambiwa atangaze kumzuia Jiwe? Si angeukimbia Usecretaty of the State? Ahahahahah! Nacheka kwa dharau!
Ulitaka litolewe na m/kiti wa mtaa!!???
Acha ujinga basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taarifa za chini chini zinadokeza kwamba anayefuatia kupigwa pini anatokea ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .

Je ni nani ?
Nimeona na jina la Mbowe ila akina Mbowe wako wengi labda ni yule wa Ole sabaya!
 
Back
Top Bottom