Who is next?

Zuchu nafikiri vipi kuhusu yule vixen wake wa jeje naambiwa tayari😁😁😁
 
Ukiachana na hao ebu tuwafikirie hawa 17 wakuja na kupita kweli mond kidume anajua kutumia pesa zake kweli kweli yaani anatuwakilisha vyema
 
Nimepoiona hio picha nimekumbuka ngoma ya johnny ya yemi alade😂😂.
Sema jamaa anajitahidi.. mimi ningekua star kama mondi kwanza kuoa ningeoa na miaka 49 na kuendelea huko.. ningetafuna mamanzi karibia africa yote hii..
Naona jamaa anajiheshimu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…