Who is next?

Who is next?

Ukiachana na hao ebu tuwafikirie hawa 17 wakuja na kupita kweli mond kidume anajua kutumia pesa zake kweli kweli yaani anatuwakilisha vyema
FB_IMG_15886971958473743.jpg
 
Nimepoiona hio picha nimekumbuka ngoma ya johnny ya yemi alade😂😂.
Sema jamaa anajitahidi.. mimi ningekua star kama mondi kwanza kuoa ningeoa na miaka 49 na kuendelea huko.. ningetafuna mamanzi karibia africa yote hii..
Naona jamaa anajiheshimu sana.
 
Back
Top Bottom