anahusika kwenye Agape Tv?
anahusika kwenye Agape Tv?
Huyu ni Kibaraka wa CCM...mchumia tumbo kwa kifupi..
Kama Gwajima sio mtumishi Mungu.basi hakuna mtumishi wa Mungu Tz
Huyu ni Kibaraka wa CCM...mchumia tumbo kwa kifupi..
Mkuu mbona umevurugwa vibaya hivii...
Hapa tunamuongekea Gamananywa sasa huyo Gwajima kaingiaje hapa....??
BTW......Wote ni wale wale..
Kama Gwajima sio mtumishi Mungu.basi hakuna mtumishi wa Mungu Tz
Huyo Mtume Fernandes ana upako kweli. Yani nimempenda sanaa.