Who is Silvester Gamanywa?

Who is Silvester Gamanywa?

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Naomba kama kuna anayefahamu historia ya Askofu anifahamishe kidogo,maana sijawahi kusikia chochote kibaya kuhusu huyu Askofu.
Je ni mmiliki wa gazeti la Msemakweli au Nyakati?
Je ndo mmiliki wa Wapo fm radio?
 
Ndiyo huyo huyo mmiliki wa WAPO RADIO chini ya WAPO MISSION yakiwemo hayo Magazeti na Huduma ya Hakuna Lisilowezekana
kama nimekosea wengine watakuja kusahihisha.
 
Ndiyo huyo huyo mmiliki wa WAPO RADIO chini ya WAPO MISSION yakiwemo hayo Magazeti na Huduma ya Hakuna Lisilowezekana
kama nimekosea wengine watakuja kusahihisha.
anahusika kwenye Agape Tv?
 
anahusika kwenye Agape Tv?

Agape kule hahusiki pale kuna Mtume Fernandes na Mkewe. Huyo Gamanywa ameshakuwa cheo cha Mkurugenzi wa TACAIDS nadhani ni kile kipindi cha Utawala wa Ben Mkapa.
 
Picha jamanii

bishop.jpg
 
Kama Gwajima sio mtumishi Mungu.basi hakuna mtumishi wa Mungu Tz

Mkuu mbona umevurugwa vibaya hivii...

Hapa tunamuongekea Gamananywa sasa huyo Gwajima kaingiaje hapa....??

BTW......Wote ni wale wale..
 
Kama Gwajima sio mtumishi Mungu.basi hakuna mtumishi wa Mungu Tz

Duuh wewe unawezaje kumjaji mtumishi kama ni wa Mungu? Na kwanini unamwamini sana huyo Gwajima??? Mwamini MUNGU TU.
 
Back
Top Bottom