Who is the best Asley Vs Rayvanny ?, song by song

You can't compare two variables and use ' best' it's who is better than.....
 
Juzi nilifanya tour youtube ya kusikiliza nyimbo za dogo aslay. Binafsi niliujua mwimbo wa tete tu na mhudumu ila kwenda ku dig nikakuta kumbe aslay ana nyimbo zake nyingi ambazo kashatoa na kuna hadi zenye viewers wsioupunga 1m+ .Katika kusikiliza nyimbo neno baada ya neno nilitambua kuwa yule si dogo tena bali ni mtu mahiri katika utunzi wa mashairi na producer wa music wake yupo makini.

Kiukweli Rayvanny muziki wake ni unabebwa na label tu ya wasafi ila sijaona cha maana alichotoa zaidi ya nyimbo mbovu za mipasho!

Kura yangu ni kwa aslay, anatoa nyimbo kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…