Who is the best: Hussein Tuwa, Beka Mfaume na Shigongo

Who is the best: Hussein Tuwa, Beka Mfaume na Shigongo

yeah nakuunga mkono mkuu ni mkali wa lugha na vilevile ni mkali wa utunzi coz ukishika kitabu chake huwezi acha kusoma kama unapika utaunguza na kama una wageni utaomba waondoke haraka ili uendelee kusoma wallahi,si unakumbuka utunzi wa HOFU na NJAMA?
Musiba ni mkali wa lugha...uandishi isn't all about putting words in paper but tasteful your words are...kwa hili Musiba hana mpinzani!!! Jamaa ana maneno matamu yenye kumfanya msomaji apende kuendelea kusoma zaidi!
 
Tuwa is the best!!

story line za shigongo ni zilezile na binafsi naboreka sana na hadithi zake!

Beka ananikera na stori zake zinakua za kichawi chawi tu!

Tuwa anakaribia kufanana na waandishi wa zamani kidogo
Sasa which is which?Mbona usomeki upo kama mfuasi wa CCM.
Unaulizwa leo lini unaanza kwanza kwani wewe nani?Wewe jibu yupi mkali basi.
Wanasema Heshima Pesa,Shkmoo kelele.😛hoto:
 
Wakuu kwa sasa hizi NOVEL zinapatikana madukani kwa hapa DAR msaada plz mimi napenda maSTORI ya kiPELELEZI kwa ninyi mliosoma hivyo vitabu nikipi kiko vzr hata nikinunua ctajutia PESA yangu bt ucnambie vya SHIGONGO 7bu mi cmtoto wa SHULE!
 
Tuwa is good… .kwa wanaosoma sana novels za nje Shigongo hua anatafsiri baadhi ya sehemu eg.ile rais anampenda mke wangu kuna baadhi amecopy kwa Sydney Sheldon… .hata hivo story zake hazina jipya,hazina mzuka kiviile
 
sijawahi kusoma stori za tuwa wla beka mfaume.. siwajui kwa kifupi!

anybody with their works?
 
sijawahi kusoma stori za tuwa wla beka mfaume.. siwajui kwa kifupi!

anybody with their works?

ndg tafta mtuhumiwa, mkimbizi na mdunguaji za hussein tuwa, ni balaa tupu ukianza soma hutotaka mtu akuongeleshe ni sawa ni kuangalia series tamuuu
 
Tuwa is the best!!

story line za shigongo ni zilezile na binafsi naboreka sana na hadithi zake!

Beka ananikera na stori zake zinakua za kichawi chawi tu!

Tuwa anakaribia kufanana na waandishi wa zamani kidogo

tafuta kitabu chake kinaitwa TUFANI
 
Musiba ni mkali wa lugha...uandishi isn't all about putting words in paper but tasteful your words are...kwa hili Musiba hana mpinzani!!! Jamaa ana maneno matamu yenye kumfanya msomaji apende kuendelea kusoma zaidi!

Sema alikuwa coz musiba ni marehemu sasa
 
Hussein tuwa is the best....hata ukisoma vitabu vyake vinaendana na uhalisia matukio hakuna kukuza mambo kama shigongo...Tafuta hadith yake ya ...BONDIA...ukisoma kama unatazama ngumi live zinavyopigwa.
 
mkuu zinapatikana wapi?

sorry lakini kama ntakusumbua!

kariakoo kipleft hapa zinapaki daladala za mbagala na temeke....kuna book stands pale.Tuwa mwenyewe huwa anawaachia copy pale wanauza.
 
Nakisaka kwa udi na uvumba hii RIWAYA.

mi ninayo copy yangu ya zamaniiii...(nilimuibia bi mkubwa wangu kitambo...ila siwezi uza sasa mkubwa)!
ila nikikupa mawasiliano ya Tuwa atakuwa na copy za mambo haya,lazima na anaweza kukuuzia.
 
Sasa which is which?Mbona usomeki upo kama mfuasi wa CCM.
Unaulizwa leo lini unaanza kwanza kwani wewe nani?Wewe jibu yupi mkali basi.
Wanasema Heshima Pesa,Shkmoo kelele.😛hoto:

ndo nyinyi mkiulizwa ''unaitwa nani''.....unajibu ''theki''!

elewa muktadha wa swali na mada husika halafu majibu yako yatokane na huo!
hoja ni ufananishi kati ya wasimulizi hawa watatu na ubora wao!
sasa ubora hutofautiana sababu tunatofautiana mitazamo.....lakini ili useme chai ni bora kuliko kahawa lazima uwe sababu za kuhalalisha uamuzi wako kwa mtazamo wako!

Fasihi sio pi = 22/7!!
 
Back
Top Bottom