Blue G
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 5,339
- 3,667
yeah nakuunga mkono mkuu ni mkali wa lugha na vilevile ni mkali wa utunzi coz ukishika kitabu chake huwezi acha kusoma kama unapika utaunguza na kama una wageni utaomba waondoke haraka ili uendelee kusoma wallahi,si unakumbuka utunzi wa HOFU na NJAMA?
Musiba ni mkali wa lugha...uandishi isn't all about putting words in paper but tasteful your words are...kwa hili Musiba hana mpinzani!!! Jamaa ana maneno matamu yenye kumfanya msomaji apende kuendelea kusoma zaidi!