Musiba ni mkali wa lugha...uandishi isn't all about putting words in paper but tasteful your words are...kwa hili Musiba hana mpinzani!!! Jamaa ana maneno matamu yenye kumfanya msomaji apende kuendelea kusoma zaidi!
Sasa which is which?Mbona usomeki upo kama mfuasi wa CCM.Tuwa is the best!!
story line za shigongo ni zilezile na binafsi naboreka sana na hadithi zake!
Beka ananikera na stori zake zinakua za kichawi chawi tu!
Tuwa anakaribia kufanana na waandishi wa zamani kidogo
Shigongo is the all time best
unamkumbuka UNONO wa kwenye ''Dae es salaam Usiku''!???...........utafikiri nimewahi kumuona picha niliochorewa!mwanamke mbaya kuiko neno lenyewe
sijawahi kusoma stori za tuwa wla beka mfaume.. siwajui kwa kifupi!
anybody with their works?
ndg tafta mtuhumiwa, mkimbizi na mdunguaji za hussein tuwa, ni balaa tupu ukianza soma hutotaka mtu akuongeleshe ni sawa ni kuangalia series tamuuu
mkuu zinapatikana wapi?
sorry lakini kama ntakusumbua!
kwa hawa wauza magazeti wanaopanga barabarani au mcheki mwenyewe via facebook
ahsante mkuu.. lakn magazeti nayo mkuu yako utitiri humu ujue!
Tuwa is the best!!
story line za shigongo ni zilezile na binafsi naboreka sana na hadithi zake!
Beka ananikera na stori zake zinakua za kichawi chawi tu!
Tuwa anakaribia kufanana na waandishi wa zamani kidogo
Musiba ni mkali wa lugha...uandishi isn't all about putting words in paper but tasteful your words are...kwa hili Musiba hana mpinzani!!! Jamaa ana maneno matamu yenye kumfanya msomaji apende kuendelea kusoma zaidi!
Nadhani Tuwa anawazidi hao wote....sijawahi kusoma stori za tuwa wla beka mfaume.. siwajui kwa kifupi!
anybody with their works?
Nadhani Tuwa anawazidi hao wote....
Tafuta Riwaya zake kama Mdunguaji , Mkimbizi na Miss Tanzania
Baadhi utazipata hapa, hasa hiyo Miss Tanzania https://www.facebook.com/pages/KONA-YA-Riwaya-Reloaded/162439457293280
mkuu zinapatikana wapi?
sorry lakini kama ntakusumbua!
Nakisaka kwa udi na uvumba hii RIWAYA.
Sasa which is which?Mbona usomeki upo kama mfuasi wa CCM.
Unaulizwa leo lini unaanza kwanza kwani wewe nani?Wewe jibu yupi mkali basi.
Wanasema Heshima Pesa,Shkmoo kelele.😛hoto: