Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,894
- 1,622
duhR9 isingekua injury zake angekua the best ever . Inakadiriwa kwa soko la sasa angekua na thamani ya zaidi ya £400m
haupo sawa, Kwa mtu kama gaucho cr7 hafikii kwa lolote, lakini kama unaangalia idadi ya magoli na sio ufundi uwanjani utakua upo sahihi.Nikimtoa mchezaji ambae hakuwahi kutokea hapa ulimwenguni The G.O.A.T/LEO10.
And so Nikiweka ushabiki pembeni CR7 kawazidi wote hao japo si shabiki wake.
Tuacheni mapenzi jamani na tuweke fact za maana. Cr7 amekuwa kwenye mafanikio kwa miaka mingi kidogo ukilinganisha na Gaucho aliedumu kwa miaka mi3 ama mi4 tu akadrop, na vile vile hakuipa mataji ya kutosha tim yake, na hata ballon de or wamezidiwa mbali sana na Cr7. Ukiangalia hata statistics Cr7 kawachana mbali sana hao wabrazili.
Hapana hatuongelei kudumu mzee , wote tunajua jinsi chupi zilivyomponza dinho ila tukiongelea kuucheza na kuusumbua uwanja aisee dinho ni hatari sana yule mtu mara ya kwanza kumwona nljua alienNikimtoa mchezaji ambae hakuwahi kutokea hapa ulimwenguni The G.O.A.T/LEO10.
And so Nikiweka ushabiki pembeni CR7 kawazidi wote hao japo si shabiki wake.
Tuacheni mapenzi jamani na tuweke fact za maana. Cr7 amekuwa kwenye mafanikio kwa miaka mingi kidogo ukilinganisha na Gaucho aliedumu kwa miaka mi3 ama mi4 tu akadrop, na vile vile hakuipa mataji ya kutosha tim yake, na hata ballon de or wamezidiwa mbali sana na Cr7. Ukiangalia hata statistics Cr7 kawachana mbali sana hao wabrazili.
Nikimtoa mchezaji ambae hakuwahi kutokea hapa ulimwenguni The G.O.A.T/LEO10.

Ahaaaaah acha mahaba no one like cr7,na ndo maana wote walistafu before their age.Ronaldinho.
Ball control,best dribbler with greatest dribbling skills,master pass and amongst playmaker.
Baada yake tumweke Delima.
Christiano Ronaldo wa mwisho kabbisa ktk hii list.
Maana hana uwexo km hao magwiji wawili
Hafadhari umeongea ukweli,but first cr7&second messiNikimtoa mchezaji ambae hakuwahi kutokea hapa ulimwenguni The G.O.A.T/LEO10.
And so Nikiweka ushabiki pembeni CR7 kawazidi wote hao japo si shabiki wake.
Tuacheni mapenzi jamani na tuweke fact za maana. Cr7 amekuwa kwenye mafanikio kwa miaka mingi kidogo ukilinganisha na Gaucho aliedumu kwa miaka mi3 ama mi4 tu akadrop, na vile vile hakuipa mataji ya kutosha tim yake, na hata ballon de or wamezidiwa mbali sana na Cr7. Ukiangalia hata statistics Cr7 kawachana mbali sana hao wabrazili.
Hivi bro unalinganisha ulimwengu wa kina Gaucho na Ronaldo ??Nikimtoa mchezaji ambae hakuwahi kutokea hapa ulimwenguni The G.O.A.T/LEO10.
And so Nikiweka ushabiki pembeni CR7 kawazidi wote hao japo si shabiki wake.
Tuacheni mapenzi jamani na tuweke fact za maana. Cr7 amekuwa kwenye mafanikio kwa miaka mingi kidogo ukilinganisha na Gaucho aliedumu kwa miaka mi3 ama mi4 tu akadrop, na vile vile hakuipa mataji ya kutosha tim yake, na hata ballon de or wamezidiwa mbali sana na Cr7. Ukiangalia hata statistics Cr7 kawachana mbali sana hao wabrazili.
Delima na Gaucho wana world cup.wewe umeongea point sana mkuu.... yaani cr7 since yuko united bado yupo on fire..... ronaldo delima na gaucho hawakudumu katika kiwango chao... lakini huyu mnyama cr7 hazeeki kudadeki.... wanaosema hoo gaucho.... aseee gaucho mwenye alikuwa anajua kuchezesha na kutingisha matako .... delima mwenyewe hajawahi chukua uefa champion league... wala hajawahi kuwa mfungaji bora wa serie A wala La Liga... sas acheni unafiki
Ahaaaaah acha mahaba no one like cr7,na ndo maana wote walistafu before their age.
Nikimtoa mchezaji ambae hakuwahi kutokea hapa ulimwenguni The G.O.A.T/LEO10.
And so Nikiweka ushabiki pembeni CR7 kawazidi wote hao japo si shabiki wake.
Tuacheni mapenzi jamani na tuweke fact za maana. Cr7 amekuwa kwenye mafanikio kwa miaka mingi kidogo ukilinganisha na Gaucho aliedumu kwa miaka mi3 ama mi4 tu akadrop, na vile vile hakuipa mataji ya kutosha tim yake, na hata ballon de or wamezidiwa mbali sana na Cr7. Ukiangalia hata statistics Cr7 kawachana mbali sana hao wabrazili.
Delima na Gaucho wana world cup.
Ronaldo ana world cup yeyote ??
Hata ya kuiba anayo??
Acha pumba mkuu.
Delima na Gaucho wana world cup.
Ronaldo ana world cup yeyote ??
Hata ya kuiba anayo??
Acha pumba mkuu.
😀😀😀😀😀hata fainali hajawahi kunusa, yaani hata ile bronze medal ya mshindi wa tatu hana! mafanikio yake makubwa na ya kukumbukwa kwenye WC ni hatrick aliyefunga kwenye hatua ya makundi.
Delima na Gaucho wana world cup.
Ronaldo ana world cup yeyote ??
Hata ya kuiba anayo??
Acha pumba mkuu.
Vipi kufunga magoli ? Gaucho amefikia Cristian ?Mkuu utakua hauko serious kumfananisha Gaucho na Ronaldo.
Hakuna kitu Ronaldo Christiano anamfikia Gaucho milele.
Gaucho kipaji toka mbinguni mkuu tuongee ukweli tuache unafiki.
Kwani mpira ni nini ? Mpira ni magoli mkuu sio chengahaupo sawa, Kwa mtu kama gaucho cr7 hafikii kwa lolote, lakini kama unaangalia idadi ya magoli na sio ufundi uwanjani utakua upo sahihi.
Kwa hiyo mtu akitoa world cup pekee ndio Bora ? Kama ndio hivyo basi giroud ni Bora kuliko cr7 au Michael laudrapworld cup ndiyo nn??? kwani kuwa bora zaidi ni lazima uchukue world cup ambayo hata ramos amechukua??? ni makombe mangapi cr7 kachukua ukiondoa timu yake taifa yaani ureno?? wacha unafiki na uzandiki kijana.... cr7 ni mtu wa tofauti kabisa... leo hii cr7 ana 34 years..... lakini bado yupo on fire... tumeona akina delima waliflop na kustaafu alipofikisha mika 31... henry alistaafu akiwa na 32... gaucho akina na 31..
lakini mnyama cr7 ukimuangalia anavyozifumua nyavu ni kama ana 25 hivi....