Who is the best Ronaldo?

Who is the best Ronaldo?

Nikimtoa mchezaji ambae hakuwahi kutokea hapa ulimwenguni The G.O.A.T/LEO10.

And so Nikiweka ushabiki pembeni CR7 kawazidi wote hao japo si shabiki wake.

Tuacheni mapenzi jamani na tuweke fact za maana. Cr7 amekuwa kwenye mafanikio kwa miaka mingi kidogo ukilinganisha na Gaucho aliedumu kwa miaka mi3 ama mi4 tu akadrop, na vile vile hakuipa mataji ya kutosha tim yake, na hata ballon de or wamezidiwa mbali sana na Cr7. Ukiangalia hata statistics Cr7 kawachana mbali sana hao wabrazili.
 
haupo sawa, Kwa mtu kama gaucho cr7 hafikii kwa lolote, lakini kama unaangalia idadi ya magoli na sio ufundi uwanjani utakua upo sahihi.
 
Nikimtoa mchezaji ambae hakuwahi kutokea hapa ulimwenguni The G.O.A.T/LEO10.

And so Nikiweka ushabiki pembeni CR7 kawazidi wote hao japo si shabiki wake.

Tuacheni mapenzi jamani na tuweke fact za maana. Cr7 amekuwa kwenye mafanikio kwa miaka mingi kidogo ukilinganisha na Gaucho aliedumu kwa miaka mi3 ama mi4 tu akadrop, na vile vile hakuipa mataji ya kutosha tim yake, na hata ballon de or wamezidiwa mbali sana na Cr7. Ukiangalia hata statistics Cr7 kawachana mbali sana hao wabrazili.
Hapana hatuongelei kudumu mzee , wote tunajua jinsi chupi zilivyomponza dinho ila tukiongelea kuucheza na kuusumbua uwanja aisee dinho ni hatari sana yule mtu mara ya kwanza kumwona nljua alien
 
wewe umeongea point sana mkuu.... yaani cr7 since yuko united bado yupo on fire..... ronaldo delima na gaucho hawakudumu katika kiwango chao... lakini huyu mnyama cr7 hazeeki kudadeki.... wanaosema hoo gaucho.... aseee gaucho mwenye alikuwa anajua kuchezesha na kutingisha matako .... delima mwenyewe hajawahi chukua uefa champion league... wala hajawahi kuwa mfungaji bora wa serie A wala La Liga... sas acheni unafiki
Nikimtoa mchezaji ambae hakuwahi kutokea hapa ulimwenguni The G.O.A.T/LEO10.

And so Nikiweka ushabiki pembeni CR7 kawazidi wote hao japo si shabiki wake.

Tuacheni mapenzi jamani na tuweke fact za maana. Cr7 amekuwa kwenye mafanikio kwa miaka mingi kidogo ukilinganisha na Gaucho aliedumu kwa miaka mi3 ama mi4 tu akadrop, na vile vile hakuipa mataji ya kutosha tim yake, na hata ballon de or wamezidiwa mbali sana na Cr7. Ukiangalia hata statistics Cr7 kawachana mbali sana hao wabrazili.
 
Ronaldinho.
Ball control,best dribbler with greatest dribbling skills,master pass and amongst playmaker.
Baada yake tumweke Delima.
Christiano Ronaldo wa mwisho kabbisa ktk hii list.
Maana hana uwexo km hao magwiji wawili
Ahaaaaah acha mahaba no one like cr7,na ndo maana wote walistafu before their age.
 
Nikimtoa mchezaji ambae hakuwahi kutokea hapa ulimwenguni The G.O.A.T/LEO10.

And so Nikiweka ushabiki pembeni CR7 kawazidi wote hao japo si shabiki wake.

Tuacheni mapenzi jamani na tuweke fact za maana. Cr7 amekuwa kwenye mafanikio kwa miaka mingi kidogo ukilinganisha na Gaucho aliedumu kwa miaka mi3 ama mi4 tu akadrop, na vile vile hakuipa mataji ya kutosha tim yake, na hata ballon de or wamezidiwa mbali sana na Cr7. Ukiangalia hata statistics Cr7 kawachana mbali sana hao wabrazili.
Hafadhari umeongea ukweli,but first cr7&second messi
 
Nikimtoa mchezaji ambae hakuwahi kutokea hapa ulimwenguni The G.O.A.T/LEO10.

And so Nikiweka ushabiki pembeni CR7 kawazidi wote hao japo si shabiki wake.

Tuacheni mapenzi jamani na tuweke fact za maana. Cr7 amekuwa kwenye mafanikio kwa miaka mingi kidogo ukilinganisha na Gaucho aliedumu kwa miaka mi3 ama mi4 tu akadrop, na vile vile hakuipa mataji ya kutosha tim yake, na hata ballon de or wamezidiwa mbali sana na Cr7. Ukiangalia hata statistics Cr7 kawachana mbali sana hao wabrazili.
Hivi bro unalinganisha ulimwengu wa kina Gaucho na Ronaldo ??
Acha utani ww.
Huyo Messi mwenyewe angekuwa ktk era ya kina Gaucho angepata ballon dor moja tu.
Na kumbuka Gaucho ana world cup baba la baba.
Kupata ballon dor chache Gaucho ni kwasababu ktk kipindi chake cha soka kulikuwa na magwiji kama kina Zidanne,Delima mwenyewe we unadhani hapo kuna nn tena km sio mtiti??
Huyu Cr7 yupo ktk ulimwengu ambao mpinzan wake ni Messi tu waliobaki wote ushuzi hamna kitu ndio maana wanatamba.
Wangezaliwa kipindi cha ulimwengu wa soka uliotawala magwiji kwa wakati mmoja uone kazi yake.
GAUCHO NI FUNDI MKUU MM SHABIKI WA MESSI ILA MESSI NAMWEKA CHIN HAMWEZ GAUCHO .
WW MTU ANAMPIGA MTU CHENGA MPK KUMTEGUA KIUNO??
ANAVISHA VIDALI WATU WATATU??!!
MKUU TUMEMISS SKILLFULL PLAYING OF GAUCHO KIUKWELI MUCHE APEWE SIFA ZAKE
 
wewe umeongea point sana mkuu.... yaani cr7 since yuko united bado yupo on fire..... ronaldo delima na gaucho hawakudumu katika kiwango chao... lakini huyu mnyama cr7 hazeeki kudadeki.... wanaosema hoo gaucho.... aseee gaucho mwenye alikuwa anajua kuchezesha na kutingisha matako .... delima mwenyewe hajawahi chukua uefa champion league... wala hajawahi kuwa mfungaji bora wa serie A wala La Liga... sas acheni unafiki
Delima na Gaucho wana world cup.
Ronaldo ana world cup yeyote ??
Hata ya kuiba anayo??
Acha pumba mkuu.
 
Cr7 ana nn ww??
Hata dafu kwa messi hafui.
Mpaka mshindani wake messi watu wanakufuru na kumuita "God of football" ilhali huyo cr7 wanamwita "just" a king of football.
Matusi makubwa rank ya "God" na "king " ni big gap inakuwepo hapo.
Sijasema mm wazungu hao wanawa term hvyo messi na cr7.
Cr7 hakuwahi kucheza hata fainal ya world cup hao wamba wamebeba Gaucho na Delima.
Skillfull playing ya Gaucho cr7 hata messi waamue waende kwa mganga hawazipati.
He is greatest Skillfull player ever Gaucho.
Na kwa era yake kipind Gaucho yupo ktk soka ni kipindi cha magwiji wengi nadhan unawafaham aisee Delima,Zidane,Thierry Henry n.k n.k.
Nadhan unajua mbungi la hao watu.
Mtoe Gaucho waeke messi na cr7 halafu uone km wangepata ballon dor hata moja .
Messi anajua Ronaldo anajua ila kuwafananisha na legendary Gaucho na Delima ni dhambi mbichi isiyokauka
Ahaaaaah acha mahaba no one like cr7,na ndo maana wote walistafu before their age.
 
Nikimtoa mchezaji ambae hakuwahi kutokea hapa ulimwenguni The G.O.A.T/LEO10.

And so Nikiweka ushabiki pembeni CR7 kawazidi wote hao japo si shabiki wake.

Tuacheni mapenzi jamani na tuweke fact za maana. Cr7 amekuwa kwenye mafanikio kwa miaka mingi kidogo ukilinganisha na Gaucho aliedumu kwa miaka mi3 ama mi4 tu akadrop, na vile vile hakuipa mataji ya kutosha tim yake, na hata ballon de or wamezidiwa mbali sana na Cr7. Ukiangalia hata statistics Cr7 kawachana mbali sana hao wabrazili.

Miaka mitano ya Gaucho yaani 2003-2008=miaka 17 ya CR7 kwenye career yake.

BTW, acha kudanganywa na haya ma ballon d’or ambayo maamuzi yake siku hizi yanafanyika kisiasa zaidi pamoja na kufuata influences ya makampuni makubwa kama Adidas.

Kuhusu mafanikio ndio hata usiongelee, Cr7 kaachwa mbali sana na Gaucho, Gaucho kachukua champs league za mabara mawili tofauti(UCL & Copa libertodores) zaidi ya hapo kachukua kila kitu akiwa na timu yake ya taifa(selecao) kachukua WC,Copa america,confederation cup na intercontinental cup, na zaidi ya yote kachukua tuzo ya ballon d’or mara mbili tena katika zama ngumu na hapakuwepo na figisu figisu kama leo hii.

Ronaldo mreno hafikii hata kidogo kwa gaucho ukiongelea mafanikio, ila wewe naona kinachokuchanganya na kuona eti cr7 ndio ana mafanikio zaidi ni hizo UCL tano alizochukua na ballon d’or 5 ambazo kihalisia mshindani wake ni mmoja tu... hahaha! lakini kila mtu na mtazamo wake
 
Delima na Gaucho wana world cup.
Ronaldo ana world cup yeyote ??
Hata ya kuiba anayo??
Acha pumba mkuu.

Kumbuka ile ilikuwa ni team work, hata Griezman, Kante,Mbappe, Iniesta, Cassilas n.k wana w/c..kama ndio kigezo chako basi wote hao ni bora kuliko Messi na R7.

Gaucho mwenyewe amekiri kwa mdomo wake 👇🏿
Screenshot_20190123-134214_Chrome.jpg

Mimi ni shabiki wa Messi.

Ila tukija kwa hao watatu pamoja na madoido yao yasiyokuwa na tija wala mafanikio katika timu zao hawamfikii R7. Tutende haqqi sheikh japo sio shabiki wa R7.
 
Ronaldo de ases Moreira- Gaucho
Ronaldo de Lima
Nashangaa baba yake Christian hajawahi cheza mpira, maana Christian siyo ROnaldo
 
hata fainali hajawahi kunusa, yaani hata ile bronze medal ya mshindi wa tatu hana! mafanikio yake makubwa na ya kukumbukwa kwenye WC ni hatrick aliyefunga kwenye hatua ya makundi.
😀😀😀😀😀
 
world cup ndiyo nn??? kwani kuwa bora zaidi ni lazima uchukue world cup ambayo hata ramos amechukua??? ni makombe mangapi cr7 kachukua ukiondoa timu yake taifa yaani ureno?? wacha unafiki na uzandiki kijana.... cr7 ni mtu wa tofauti kabisa... leo hii cr7 ana 34 years..... lakini bado yupo on fire... tumeona akina delima waliflop na kustaafu alipofikisha mika 31... henry alistaafu akiwa na 32... gaucho akina na 31..

lakini mnyama cr7 ukimuangalia anavyozifumua nyavu ni kama ana 25 hivi....
Delima na Gaucho wana world cup.
Ronaldo ana world cup yeyote ??
Hata ya kuiba anayo??
Acha pumba mkuu.
 
Mkuu utakua hauko serious kumfananisha Gaucho na Ronaldo.
Hakuna kitu Ronaldo Christiano anamfikia Gaucho milele.
Gaucho kipaji toka mbinguni mkuu tuongee ukweli tuache unafiki.
Vipi kufunga magoli ? Gaucho amefikia Cristian ?
 
world cup ndiyo nn??? kwani kuwa bora zaidi ni lazima uchukue world cup ambayo hata ramos amechukua??? ni makombe mangapi cr7 kachukua ukiondoa timu yake taifa yaani ureno?? wacha unafiki na uzandiki kijana.... cr7 ni mtu wa tofauti kabisa... leo hii cr7 ana 34 years..... lakini bado yupo on fire... tumeona akina delima waliflop na kustaafu alipofikisha mika 31... henry alistaafu akiwa na 32... gaucho akina na 31..

lakini mnyama cr7 ukimuangalia anavyozifumua nyavu ni kama ana 25 hivi....
Kwa hiyo mtu akitoa world cup pekee ndio Bora ? Kama ndio hivyo basi giroud ni Bora kuliko cr7 au Michael laudrap
 
Back
Top Bottom