stormryder
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 3,776
- 5,786
Safari hamas wamepigwa sana, hasa Israel walipoamua kuvamia Shifa hospital Jamaa wakaomba pooIsrael huwa anapigana vita vya muda mrefu sana. Kinachoshindikana kwa Israel kuifuta Hamas ni kelele za watu wa haki za binadamu na kutoka mataifa mbalimbali. Otherwise Hamas ingekuwa imesafishwa.