Who is winning the battle between Israel and Hamas? Nilitegemea 6 day war or so ijirudie, why not this time?

Israel huwa anapigana vita vya muda mrefu sana. Kinachoshindikana kwa Israel kuifuta Hamas ni kelele za watu wa haki za binadamu na kutoka mataifa mbalimbali. Otherwise Hamas ingekuwa imesafishwa.
Safari hamas wamepigwa sana, hasa Israel walipoamua kuvamia Shifa hospital Jamaa wakaomba poo
 
Ni kelele za dunia na uwepo mwingi wa smartphones unasababisha israel ifanye ukatili wa kiasi isingekuwa hivo basi wangefanya yale zaidi ya adolf Hitler wangeua hadi kuku
Safi sana kwasababu hao kuku wa Gaza nao magaidi tuu
 
Wanadema wameiteka Gaza tayari na Hamas wamekimbia.

Sasa ni MAPIGANO gani wamesitisha?
 
mshindi ni yule alyeikalia jerusalem. haya mengine hatuyajui ila wewe unajifariji tuu. mshindi ni mwenye jiji la daudi au Jerusalem.
 
mshindi ni yule alyeikalia jerusalem. haya mengine hatuyajui ila wewe unajifariji tuu. mshindi ni mwenye jiji la daudi au Jerusalem.
SINA NINAKOKUSHABIKIA,
 
Mbona NETANYAHU waliweka wazi kabisa mwanzoni kwamba hii vita itachukua miezi 5 hadi 6.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…