Si ajabu wapo wengi wanaofikiria hivi πππ si nimepishana na magari ya mishahara jamaniNdio, dume la mbegu.
Ukishaona nistue namie
Mwenyewe πΉKuna uzi nimeuona uandishi unafanana. Viswanglish kibao, kujificha hawezi.
Si ajabu wapo wengi wanaofikiria hivi πππ si nimepishana na magari ya mishahara jamani
Tupe vituuuu π₯πΉAsante, nimepokea binti yangu πππ₯°π
Sio wewe tu, wapo na wengine walishaniambiaNafikiri ni mimi tuu.
Bwana yupi tena umemuibia da Mau πΉπΉJitahidi unywe dawa zako kwa wakati.
Kila mara anasema hivihivi ila huyo bwana simjuiBwana yupi tena umemuibia da Mau πΉπΉ
Huyo dawa za VVU zimemkataa ndiomana kuna muda kingβamuzi kinaisha kifurushi..!!
Kuna member mmoja humu alikua anajiita The coded au Coded siikumbuki vizuri username yake,sijawahi kuona kichwa kama yule jamaa hapa JF,sijui alipotelea wapi tu,
JF ina member wengi sana aisee,
Hataki vile Tate mkuu anavyo engage na wewe jukwaani..!!Basi kasheshe
Kwani yeye na tate mkuu wameoana?Hataki vile Tate mkuu anavyo engage na wewe jukwaani..!!