Brelim Skoro_
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 15,188
- 37,742
Hahahaha,kujikomba vp sasa ? Rafiki ujue Leo ijumaa usikute mwenzangu ushashiba biriyani,saa hz unashushia maji makubwa ya baridi, taratibuuTresor Mandala hati ya kwamba unajikombaa
Mkuu kwema lakini?
Poa mkali , umepoa sana sioni ma nyuziMkuu kwema lakini?
.Kula chuma hiyo odds 85 tia elfu 2000sh upate pesa ya kula ubwabwa na mandondo na ndizi mbivu. GENIUS NI GENIUS TU
SPORTBET
6EQ80V
Eti Wakuu
Who is your all time favorite member on JamiiForums?
Masikini Cr wetu wa chuo, picha yake inarushwa jf !
Kwani dhambiMasikini Cr wetu wa chuo, picha yake inarushwa jf !
Mtu na nusu kabisa na dipresheni zako.
Ngoja nimtaarifuKwani dhambi
Huoni kavutiaNgoja nimtaarifu
Ukapotelea wapi bado kidogo dipresheni zingenimalizaMtu na nusu kabisa na dipresheni zako.
Kwanza nimekununia.Ukapotelea wapi bado kidogo dipresheni zingenimaliza
Kwanini nimefanyaje mtu wa Mungu?Kwanza nimekununia.
DipresheniKwanini nimefanyaje mtu wa Mungu?