Huyo mwanamke akishikilia kitu haachii! Kwanza ametangaza kunimwaga kwa sababu sikumsaidia kaka yake alipoumwa. Mimi siku hizi ni baachela. 😀Umueleweshe sasa mkeo, yeye ukicheka na member wa kike anahisi anaibiwa..!! 😹
@ra raa re reeEti Wakuu
Who is your all time favorite member on JamiiForums?
Ndugu zangu haya malumbano yatasababisha wengine tuvuliwe nguo hadharani.Kwani yeye na tate mkuu wameoana?
Mi nimeolewa mpaka yeye aolewe? 😹😹Kwani yeye na tate mkuu wameoana?
YaisheNdugu zangu haya malumbano yatasababisha wengine tuvuliwe nguo hadharani.
Sasa na wewe Tate kwanini husaidii mashemeji zako? 😹Huyo mwanamke akishikilia kitu haachii! Kwanza ametangaza kunimwaga kwa sababu sikumsaidia kaka yake alipoumwa. Mimi siku hizi ni baachela. 😀
Amelala muda huu. Akiamka patachimbika.Yaishe
Pole yake atapata wa kwake wa kufanana naeMi nimeolewa mpaka yeye aolewe? 😹😹
Da Mau kajipachika tu!
Sema acha nimuache ila da Mau akimganda mwanaume humu hataki azoeane na yoyote..!!
Si umemsoma hapo aliposema kuna mwanaume alimkua anamuelewa lakini alivyo mmention member mwingine kamchefua..!! 😹😹😹
Hajui kuchagua! Amekuchagua wewe wakati mademu sio mitikasi yakoAmelala muda huu. Akiamka patachimbika.
Zack AbdulEti Wakuu
Who is your all time favorite member on JamiiForums?
Jitahidi kuacha wazee wawatu 😛😛unajua ile milima ya usambaani ukija kija tena nakutegea unabinuka binuka hadi lushotoJitahidi unywe dawa zako kwa wakati.
Inaonekana umejipata kimaisha kiasi kwamba una muda mwingi wa kugombea mtu.Jitahidi kuacha wazee wawatu 😛😛unajua ile milima ya usambaani ukija kija tena nakutegea unabinuka binuka hadi lushoto
Kiukweli nakutaniaInaonekana umejipata kimaisha kiasi kwamba una muda mwingi wa kugombea mtu.
Niache nitafute hela
☺️Hapo sawaKiukweli nakutania
KwambaInafikirisha.
SweetyCandy ni mmeru halafu ni kibonge, mshangazi wenye pesa.Kwamba