Mwaka wa Mbele
JF-Expert Member
- Mar 5, 2026
- 1,013
- 3,017
haszu He’s confidently stupid and handsome that I can’t even hate him,I admire the confidence.
Anaweza kuingia humu akapost the gayish sh*t ever, nyie mkawa busy mnampika kwa kila neno la kukera yeye kimya hajibu like a boss..
Nafikiri kila mtu angekua anaji feel handsome(kujikubali)angalau nusu ya huyu self proclaimed handsome drama nyingi zisingekuepo humu.
social drama nyingi zinaletwa na insecurity disguised as EGO,Wivu,,Mashindano or the need for validation..
Kama watu wangejipenda na kujikubali kama haszu kusingekua na kuitana Uglies,kujilinganisha na wengine,to seek approval from strangers,au kuwashusha wengine to feel superior,..
Kujifeel handsome ndio Kujikubali ? 😎😎😎.Nafikiri kila mtu angekua anaji feel handsome(kujikubali)
MALCOM LUMUMBAEti Wakuu
Who is your all time favorite member on JamiiForums?
Kufeel handsome not literally ina maana wa muonekanoDah😂😂😂.
Kujifeel handsome ndio Kujikubali ? 😎😎😎.
Thanks to be honoured, I'm humbled!. ThanksKwenye ukweli tuseme.
Kuwa na mfululizo mzuri na wa muda mrefu JF sio jambo rahisi.
Wachache sana ndio wameweza.
Inachukua akili, muda, kujitoa, kuthamini na kupenda unachotoa kwa jamii.
pokeeni maua yangu Mshana Jr na Pascal Mayalla.
Na future ijayo ya kina Robert Heriel Mtibeli na ShesRise_1 .
Sahihi.au neno KUJIKUBALI nimeweka mahala sio??..
Huyu jamaa Anasema ni Handsome.Nafikiri kila mtu angekua anaji feel handsome(kujikubali)angalau nusu ya huyu s
Huyo anajibeep achana naye!
Mshana JrEti Wakuu
Who is your all time favorite member on JamiiForums?
Lugha ya kiswahili utanisamehe,hata mfano wa huyu mtu sio sahii nimemchomekea for the content ku admire audacity yake..Sahihi.
Umeliweka sehemu sio.
Huyu jamaa Anasema ni Handsome.
Na kujikubali kwake ameambatanisha na muonekano.
na pia huwa anajibu watu kuwa "ww utakuwa una sura ya Baba... ndio maana unasema ...."
Wakati. kujikubali ni mtu kujitambua, kuheshimu na kupokea nafsi yame jinsi ilivyo.
ikiwemo nguvu zake, udhaifu wake, hisia zake, na mapungufu yake bila kujihukumu vikali au kujilinganisha kupita kiasi na watu wengine.
Now you see the differences.
Beautiful boy haszu njoo upokee maua yako mdogo wangu..!!haszu He’s confidently stupid and handsome that I can’t even hate him,I admire the confidence.
Anaweza kuingia humu akapost the gayish sh*t ever, nyie mkawa busy mnampika kwa kila neno la kukera yeye kimya hajibu like a boss..
Nafikiri kila mtu angekua anaji feel handsome(kujikubali)angalau nusu ya huyu self proclaimed handsome drama nyingi zisingekuepo humu.
social drama nyingi zinaletwa na insecurity disguised as EGO,Wivu,,Mashindano or the need for validation..
Kama watu wangejipenda na kujikubali kama haszu kusingekua na kuitana Uglies,kujilinganisha na wengine,to seek approval from strangers,au kuwashusha wengine to feel superior,..
Umekuja na ka-id Kako kengine kujisifia ujingahaszu He’s confidently stupid and handsome that I can’t even hate him,I admire the confidence.
Anaweza kuingia humu akapost the gayish sh*t ever, nyie mkawa busy mnampika kwa kila neno la kukera yeye kimya hajibu like a boss..
Nafikiri kila mtu angekua anaji feel handsome(kujikubali)angalau nusu ya huyu self proclaimed handsome drama nyingi zisingekuepo humu.
social drama nyingi zinaletwa na insecurity disguised as EGO,Wivu,,Mashindano or the need for validation..
Kama watu wangejipenda na kujikubali kama haszu kusingekua na kuitana Uglies,kujilinganisha na wengine,to seek approval from strangers,au kuwashusha wengine to feel superior,..
Kwamba huyo ni haszu kwenye koti jipya? 😹Umekuja na ka-id Kako kengine kujisifia ujinga
Wakileta ya ujinga tuwashindanisheBest member kwenye jambo gani?
Coz hata kwenye ujinga jinga pia kunakuwepo na ambaye ndio best wao,
Au nakosea ndugu wananchi kuuliza hivi?
Chiwawa lazima achukue kombe back to back.Wakileta ya ujinga tuwashindanishe
Lucas
Tlaatlaah
Chiwawa 😹
Hapo sijui nimpe yupi na nimuache yupi?
Huu mwaka ka trend Chiwawa apewe tuzo ya wa hovyo..!! 😹Chiwawa lazima achukue kombe back to back.
Siku akipewa tuzo ndio atahamia humu mazima.Huu mwaka ka trend Chiwawa apewe tuzo ya wa hovyo..!! 😹