Who is your best JF member of all time?

Thank you bro
Mwaka wa Mbele I really appreciate you noticing it and choosing to say something even though you could have easily stayed quiet I truly respect that 🙏
 
Wewe ni kilaza mwenye confidence , mweupe sana na upo shallow na hata nidhamu ya majadiliano huna .

Labda Genius kwenye kubeti na mabange
Kula chuma hiyo odds 85 tia elfu 2000sh upate pesa ya kula ubwabwa na mandondo na ndizi mbivu. GENIUS NI GENIUS TU

SPORTBET

6EQ80V
 
secretarybird, ni mtu noma kweli kweli! Najua hata wale wakalia misumari, ambao huwapa za uso bila kificho, wanatambua ya kwamba mtu huyu ni GOAT, ila jukwaani huifanya kumpinga, ndiyo maana kila asubuhi humwendea PM kimya kimya na kumpea shikamoo yake.

Yeye ni Ayatollah wa humu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…