Who is Your JamiiForums Crush?

Who is Your JamiiForums Crush?

Yani vita inakua ni vita muraaaaa😆
Kwanini wafanye mambo yao bila kutushirikisha lakini me sijapenda…
Hahahaahah yaani wewe ni mjinga hahahahaa umenifanya nionekane kichaa kwa kucheka, umewaza mbali. Kuna umuhimu sana wa kushirikishana haya mambo mapema
 
yule aliyechukua tuzo ya jf.
mwingine katajwa na watu wengi sana nitaongeza idadi mmno
 
Back
Top Bottom