Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Nina crush sasa 😂😂Haha 🤣 hapa sioni uliyemtag ..... natamani nimuone huyo Crush
Nimetag wa kikeni tu,, kiumeni sina…
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina crush sasa 😂😂Haha 🤣 hapa sioni uliyemtag ..... natamani nimuone huyo Crush
Subutuuuuu yako hahahaha nisemee Hapa Hapa au PM??Nina crush sasa 😂😂
Nimetag wa kikeni tu,, kiumeni sina…
Sema hapa hapa 😂😂😅Subutuuuuu yako hahahaha nisemee Hapa Hapa au PM??
Ili niwe nimevunja Sheria za JF halafu niwe Banned eeghSema hapa hapa 😂😂😅
Mimi ni mod… nitaku unbanIli niwe nimevunja Sheria za JF halafu niwe Banned eegh
Noma sana mkuu, itabidi nitume maombi inbobo nijaribu bahati yanguna mtoto anajua kucheza na de libolo hatari
Fanya hivyo mzeya...mie nilijaribu nikaambiwa nitume vocha ya buku 10 nilikimbia mwenyeweNoma sana mkuu, itabidi nitume maombi inbobo nijaribu bahati yangu
Hivi crush id yako ya zamani ni ipi lakini??🤔🤔🤔 usinifiche hivo crush 😌😌Naachaje kufanya hilo jambo kwa crush wangu pekee humu[emoji8]
Haahaaa Nakadori hata akitaka JF nitampa we unashindwaje vocha ya 10k mkuuFanya hivyo mzeya...mie nilijaribu nikaambiwa nitume vocha ya buku 10 nilikimbia mwenyewe
Wee hiyo vocha ukiambiwa nauli laki mie naweza wapi wakati buku kumi nikimkamata form four B, chips yai na mirinda nyeusi najilia vizuri tuuHaahaaa Nakadori hata akitaka JF nitampa we unashindwaje vocha ya 10k mkuu
Sema game atakalokupa Nakadori ni tofauti na game la huyo dogo. Kule kimasikhara najua keshawarudisha wengi CHAPUTAWee hiyo vocha ukiambiwa nauli laki mie naweza wapi wakati buku kumi nikimkamata form four B, chips yai na mirinda nyeusi najilia vizuri tuu
Mimi simjui tutajie tusivuke mpakaAtakaecrush na mme wangu tutagombana, am vere sirias tutagombana sana.....
Love u,japo najua kasababu kapo😜
We hiyo ‘Love u yako ina kasababu gani 😅😅😅Love u,japo najua kasababu kapo😜
Nina hii tu mamaHivi crush id yako ya zamani ni ipi lakini??[emoji848][emoji848][emoji848] usinifiche hivo crush [emoji18][emoji18]