Who is Your JamiiForums Crush?

Who is Your JamiiForums Crush?

Kwenye huu
Habari wanaJamiiForums..!!

Tukiwa tunajianda kulala nimeona niwaletee mada kidogo. Kama kichwa kinavyojieleza pale juu.

We mtaje tu huwezi jua kupitia kumtaja kwako ghafla mambo yanachange na kuwa mazuri. Usikaushe kaushe maisha ni mafupi / tunaishi mara moja.

Mtaje tu..😊

NB: Please, Crushes remain Crushes! Dont start to PM anyone and start disturbing them 😆
uzi

Kwenye huu uzima naamini Joanah lazima atakuwa na ma- crushie wengi😂😂
 
Asee manengelo sijui a.k.a nzulat huwa namkubali sana mdada huyu
Kwa wakaka kwa kweli siwez kutaja maana naweza kutaja kumbe nikaharibu badala ya kujenga...
 
Back
Top Bottom