Who is Your JamiiForums Crush?

Who is Your JamiiForums Crush?

Jamaa nimemuuliza maswali comment za mwanzoni kanipotezea 😁😁
Sijakupotezea.

Unajua leo ni mara ya tatu naona member wa humu anakuhusisha na manengelo ndo maana nikauliza ila ww umeichukulia personal sana
 
Member gani huyo anayenihusisha?sawa inawezekana nikawa ndiye au siye
 
Hahaa.. Sawa mzee baba
Bwana natania mie wala sijamkula...alinipiga kibomu cha vocha ya buku kumi nilitoka nduki....nilijua mbususu utaambia laki mbili🀣🀣🀣🀣
 
Mtaseema.. πŸ˜‚πŸ˜‚

Back
Top Bottom