Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Pamoja sana mkuu, wadau wote mnaodumisha furaha na amani humu ndani nawakubali sana tuko pamoja. Tuishi humo humoNa wewe pia buddy nilisahau ndo watu ninao wakubali mnoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja sana mkuu, wadau wote mnaodumisha furaha na amani humu ndani nawakubali sana tuko pamoja. Tuishi humo humoNa wewe pia buddy nilisahau ndo watu ninao wakubali mnoo
Thanx buddy...I gach you
Sawa sawa ,kinyamwezi zaidiThanx buddy...I gach you
Yani kama mambeleee....Sawa sawa ,kinyamwezi zaidi
That's great buddy 👍Rayns
min -me
sweery
Vincenzo Jr
PSL god
raraa reree
Fundi manyumba
Mshana Jr
Nahisi naweza kujaza page nzima ila hao ndo naowakubali
Hahahaha, Tisha SanaYani kama mambeleee....
😆 😆 😆 😆 😆
Shukrani sana mkuuRayns
min -me
sweery
Vincenzo Jr
PSL god
raraa reree
Fundi manyumba
Mshana Jr
Nahisi naweza kujaza page nzima ila hao ndo naowakubali
Атрымаеце чашачку чаю за свой кошт, пасля чаго мадэратар JF прыедзе для аплаты рахунку ў найкарацейшыя тэрміны.
sweeryRayns
min -me
sweery
Vincenzo Jr
PSL god
raraa reree
Fundi manyumba
Mshana Jr
Nahisi naweza kujaza page nzima ila hao ndo naowakubali
"Pata kikombe cha chai bure, kisha msimamizi wa JF atafika kulipia bili haraka iwezekanavyo."Атрымаеце чашачку чаю за свой кошт, пасля чаго мадэратар JF прыедзе для аплаты рахунку ў найкарацейшыя тэрміны.
Nakusalimu sana.😘
Bado ni chakorii mkuu.Chakorii saivi anajiita nani ?
Ya kuliwa kimasikhara!! 😁Assignment ipi mkuu
Ahahahha ukutane na kituko kama Poor BrainMe kuna watu sina mazoe nao sana ila nawa appreciate na ipo siku huenda tukakutana min -me raraa reree mshamba_hachekwi Poor Brain Vincenzo Jr Red black sawima KENZY na crew ya majobless pro max makutupora Bolotoba Thecoder na Intelligent businessman
😁😁😁😁ile Nilikuwa nachangamsha uzi tu ndugu yangu nothing was serious aiseYa kuliwa kimasikhara!! 😁
Nakubali sana mkuu tupo pamoja..
Nipo sana rafiki yangu.habari ya siku?Hahahaha,huyu Binti kapotea kbs