Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Kwa polepole.Unasikia kwa nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa polepole.Unasikia kwa nani?
... Tanzania inaihitaji dunia; dunia haiihitaji Tanzania. Wakielewa kanuni hii rahisi itasaidia sana.Hayo ndiyo matunda ya kutokuwekeza katika sayansi,technolojia na tafiti.Usipowekeza katika sayansi lazima tu uburuzwe.
Imagine lile dubwasha la Tanzania kutwa kupiga mayowe kwenye majukwaani sijui chanjo hazifai,sijui wazungu wanataka kutuua ,sijui wazungu wana wivu na sisi kwa sababu sisi ni matajiri sana na kadhalika lakini kuburuzwa ipo palepale!Kama sisi ni matajiri sana kwa nini hatuwekezi katika Sayansi,technologia pamoja na tafiti ili tuwe huru kama China?
Sasa usiburuzwe wewe nani?Hayo ndiyo matunda ya kutokuwekeza katika sayansi,technolojia na tafiti.Usipowekeza katika sayansi lazima tu uburuzwe.
Imagine lile dubwasha la Tanzania kutwa kupiga mayowe majukwaani sijui chanjo hazifai,sijui wazungu wanataka kutuua ,sijui wazungu wana wivu na sisi kwa sababu sisi ni matajiri sana na kadhalika lakini kuburuzwa ipo palepale!Kama sisi ni matajiri sana kwa nini hatuwekezi katika Sayansi,technologia pamoja na tafiti ili tuwe huru kama China?
KakudanganyaKwa polepole.
kanunue madawati wewe, watoto wanakaa chini !!Mtanasa ninyi wajinga pekee
Kazi hiyo inaendelea nchi nzima.kanunue madawati wewe, watoto wanakaa chini !!
Lini tz itahitajiwa na dunia?... Tanzania inaihitaji dunia; dunia haiihitaji Tanzania. Wakielewa kanuni hii rahisi itasaidia sana.
PhD? Ya kupayuka?? Bila evidence... kuna kila dalili ya mtu kutafuna matapishi yake mwenyewe. Wenye akili sio wenzio; hakuna kusafiri hadi upate COVID-19 vaccination certificate/card; sijui Tanzania itachomokaje kwenye hili hususan viongozi wa serikali ambao kusafiri ni sehemu ya majukumu yao. Kweli Profesa Kabudi na maafisa wake mambo ya nje hawatasafiri?
Walikuwa wanatuangalia kwa jicho la dharau na kauli zetu uchwara; eti Tanzania hakuna Corona wakati kupima hampimi! How can you justify this? Sio kila kitu ni siasa; mambo mengne ni ya kisayansi na ni lazima yapelekwe kisayansi. Na bahati nzuri tuna Amiri Jeshi Mkuu mwanasayansi ngazi ya PhD.
Watoto wanaingia kwa shift dar ukiulizwa unajibu kwa mkato ati kwakuwa elimu ni bure? Wakati miundombinu haitoshi???? Mnaropoka ropoka tuu kama hayawani.Kazi hiyo inaendelea nchi nzima.
Nyie endeleeni kufuatilia chanjo mchanjwe
Kamuulize Trump kwann alikataliwa na wananchi???Lini tz itahitajiwa na dunia?
Itakuja tu kama upepo?
.... bila dunia hakuna Tanzania; dunia itaendelea kuwepo bila Tanzania. Nini hujaelewa?Lini tz itahitajiwa na dunia?
Itakuja tu kama upepo?
Trump ndio angefanya tz ihitajiwe?Kamuulize Trump kwann alikataliwa na wananchi???
Tunaendelea kuboresha kila kitu, nyie endeleeni kusubiri chanjo mchanjweWatoto wanaingia kwa shift dar ukiulizwa unajibu kwa mkato ati kwakuwa elimu ni bure? Wakati miundombinu haitoshi???? Mnaropoka ropoka tuu kama hayawani.
Waraka wa maaskofu katoliki ulisema kuwa mwaka jana tulifanikiwa kudhibiti corona na pia watu wengine nao husema corona ilipungua kwa mwaka jana na ndio maana tukaweza kufanya kampeni bila tahadhari zozote kwa sababu maambukizi ya corona yalipungua sana,hili lina ukweli kiasi gani mkuu maana mimi nashindwa kuelewa?... kuna kila dalili ya mtu kutafuna matapishi yake mwenyewe. Wenye akili sio wenzio; hakuna kusafiri hadi upate COVID-19 vaccination certificate/card; sijui Tanzania itachomokaje kwenye hili hususan viongozi wa serikali ambao kusafiri ni sehemu ya majukumu yao. Kweli Profesa Kabudi na maafisa wake mambo ya nje hawatasafiri?
Walikuwa wanatuangalia kwa jicho la dharau na kauli zetu uchwara; eti Tanzania hakuna Corona wakati kupima hampimi! How can you justify this? Sio kila kitu ni siasa; mambo mengne ni ya kisayansi na ni lazima yapelekwe kisayansi. Na bahati nzuri tuna Amiri Jeshi Mkuu mwanasayansi ngazi ya PhD.
Umeshindwa kuboresha tangu uhuru 1961 utaweza leo???Tunaendelea kuboresha kila kitu, nyie endeleeni kusubiri chanjo mchanjwe
... hata Rwanda hapo sembuse China hamtaenda bila COVID-19 vaccination card; tena vaccination ambayo ni approved na wao sio "nyungu". No crossing a border without card! Kazi kwenu na mikauli yenu ya kijinga.Trump ndio angefanya tz ihitajiwe?
Subiri uone,Umeshindwa kuboresha tangu uhuru 1961 utaweza leo???