#COVID19 WHO kutoa ‘Kadi ya Chanjo ya Corona’ itakayokuruhusu kuingia nchi nyingine

#COVID19 WHO kutoa ‘Kadi ya Chanjo ya Corona’ itakayokuruhusu kuingia nchi nyingine

Huna ulijualo wewe . Unaropoka na kupayuka tu kama yule mropokaji mkuu. Subir uone mziki wake. Unafikiri ni rahisi kama kuiba KURA za NEC???
Nenda kachanjwe wewe! Acha kumsikiliza jiwe nenda kachanjwe, peleka mwili huo kachanjwe.
 
Ahaaa.... Kachanjweni jamani acheni maneno mengi pelekeni miili hiyo mkachanjwe
... umewasikia WHO? Kuna uzi humu humu JF; Tanzania ijiandae kupokea chanjo. Tutachanjwa hapa hapa kwenye ardhi ya babu na bibi zetu hatuendi popote ije mvua liwake jua. Wewe unayeamini hakuna Corona bila scientific justification baki hivyo hivyo kwamba hakuna Corona ila usiwazuie wengine kunusuru afya zao.
 
Isije ikawa ndo Yale mambo akuna kuuza wala kununua usipokuwa na nembo ya mnyama.yameanza.
Na mlipopigwa chanjo ya pepopunda, surua n.k mbona hamkusema haya. Huo ni ushamba.
Hivi wangetaka kuisambaza hiyo chapa si wangeziattach kwenye chanjo za vichanga ambazo tunazipokea kila leo bila usumbufu.
Mwafrika hajui kitu, akili yake ikifika mwisho hukimbilia kwenye biblia ilivyoandikwa na hao Wazungu.
 
Nenda kachanjwe wewe! Acha kumsikiliza jiwe nenda kachanjwe, peleka mwili huo kachanjwe.
Kwa taarifa yako walikuwa wanamsubiria ajae tu. Na keshajaa sasa litakuwa jiwe la CHUNVI HILO
 
Na mlipopigwa chanjo ya pepopunda, surua n.k mbona hamkusema haya. Huo ni ushamba.
Hivi wangetaka kuisambaza hiyo chapa si wangeziattach kwenye chanjo za vichanga ambazo tunazipokea bila usumbufu.
Mwafrika hajui kitu, akili yake ikifika mwisho hukimbilia kwenye biblia ilivyoandikwa na hao Wazungu.
Aione: Crimea
 
Shirika la Afya Duniani WHO linajiandaa kutoa cheti au kadi ya chanjo ya Corona (Covid-19 vaccination certificate) itakayotumika dunia nzima, na huwezi kusafiri au kupata VISA kama hautakuwa umechanjwa. Kwa sasa chanjo inayotakiwa ili usafiri au ukienda kuomba VISA ni chanjo ya homa ya manjano pekee.

===========

COVID-19: WHO races to develop vaccination card

As countries start to develop their own vaccination passports, the WHO is racing to develop a standard framework for coronavirus vaccination certificates that can be used worldwide to ensure standards are met.

Bernardo Mariano, Director of digital health innovation, WHO, told DW.

Currently, yellow fever is the only disease specified in the World Health Organization's (WHO) International Health Regulations (IHR), which require proof of vaccination for entry to some countries. The yellow fever vaccination certificate is also the only proof of vaccination certified under the IHR.

Vaccination against COVID-19 is not part of the IHR yet, but a country can make a unilateral decision. Some countries already require a negative COVID-19 test to enter, and the next evolution of that will be requiring proof of vaccination, Mariano said.

A COVID-19 vaccination certificate to become compulsory for travel the world over, it would have to be part of the IHR, and that process would take a long time, Mariano said. But there are other avenues.

One such initiative is the CommonPass , a digital framework for verifying COVID-19 tests and vaccination certificates. Some airlines have already been rolling out the app to passengers on select flights.

Mungu wabariki wazungu
 
Na mlipopigwa chanjo ya pepopunda, surua n.k mbona hamkusema haya. Huo ni ushamba.
Hivi wangetaka kuisambaza hiyo chapa si wangeziattach kwenye chanjo za vichanga ambazo tunazipokea bila usumbufu.
Mwafrika hajui kitu, akili yake ikifika mwisho hukimbilia kwenye biblia ilivyoandikwa na hao Wazungu.
Hawa Nyumbu wa kijani ndio walivyo
 
Attachments

  • IMG-20210129-WA0010.jpg
    IMG-20210129-WA0010.jpg
    73.9 KB · Views: 1
... umewasikia WHO? Kuna uzi humu humu JF; Tanzania ijiandae kupokea chanjo. Tutachanjwa hapa hapa kwenye ardhi ya babu na bibi zetu hatuendi popote ije mvua liwake jua. Wewe unayeamini hakuna Corona bila scientific justification baki hivyo hivyo kwamba hakuna Corona ila usiwazuie wengine kunusuru afya zao.
Thanks
 
Ccm kwa kupenda ngono na wanatumia ARVs na Condom na K-Y jelly kutoka kwa mdhungu harafu wanajifanya nye nye nye
 
Kwa taarifa yako walikuwa wanamsubiria ajae tu. Na keshajaa sasa litakuwa jiwe la CHUNVI HILO
... kaingia kiutamu kweli! Hachomoki; keshageuziwa Kibla! Angejizuia uropokaji wa juzi sijui angepungukiwa na nini! Ndio ajue akili kisoda kushindana na akili kubwa ni majanga.
 
Nyumbu ni hio "O" yako huko nyuma.
Tena wewe nyumbu kubwa lao ndio mburura la mwisho, kuna mathread yako yanafukuliwa, aibu tupu, eti tupigwe chanjo kisa machinga wanapewa id's, kama sio Mavi imekujaa kwa kichwa, ni nn
 
Sisi tusioweka kipaombele kutengeneza chanjo ya kwetu or rather kuzidadavua nje / ndani hizi chanjo za wenzetu hasa wazungu kujua ubora wake, ila kubakia tukilalamia bila prove kwamba huwenda zikawa na mapandikizo ya mambo mengine kutudhuru mwilini kwetu- naona kuna sehemu tunakwenda kunasa!! safari yetu si ndefu
Mbona hukuhoji kikombe cha Babu wa Loliondo ambacho watu wazima walifakamia kama hawana akili.
Na dawa ya Madagascar ilikuwa imedhibitishwa na akina nani,na nini ilikuwa mwisho wake?.
 
Itakuwa safi sana.

Mtu anapokunyima msosi inakupa akili ili ulime chakula chako
Kumbe unasubiri kwanza unyimwe ndipo utafute chako. Huo ni ujuha. Utakufa masikini.
 
Back
Top Bottom