#COVID19 WHO kutoa ‘Kadi ya Chanjo ya Corona’ itakayokuruhusu kuingia nchi nyingine

#COVID19 WHO kutoa ‘Kadi ya Chanjo ya Corona’ itakayokuruhusu kuingia nchi nyingine

Hayo ndiyo matunda ya kutokuwekeza katika sayansi,technolojia na tafiti.Usipowekeza katika sayansi lazima tu uburuzwe.

Imagine lile dubwasha la Tanzania kutwa kupiga mayowe majukwaani sijui chanjo hazifai,sijui wazungu wanataka kutuua ,sijui wazungu wana wivu na sisi kwa sababu sisi ni matajiri sana na kadhalika lakini kuburuzwa ipo palepale!Kama sisi ni matajiri sana kwa nini hatuwekezi katika Sayansi,technologia pamoja na tafiti ili tuwe huru kama China?
Mapunguani hua kazi yao ni kuita wazungu mabeberu.wakati bila hao mabeberu yangekua yanavaa magamba ya miti hata leo, yamesoma kwa vitabu vya sayansi vilivyoandikwa na kuvumbuliwa na wazungu leo wanajifanya kunyanyua mikia na maneno ya kijinga ya kwenye khanga za uswahilini.
Pumbavu zao wataufyata tu
 
... kuna kila dalili ya mtu kutafuna matapishi yake mwenyewe. Wenye akili sio wenzio; hakuna kusafiri hadi upate COVID-19 vaccination certificate/card; sijui Tanzania itachomokaje kwenye hili hususan viongozi wa serikali ambao kusafiri ni sehemu ya majukumu yao. Kweli Profesa Kabudi na maafisa wake mambo ya nje hawatasafiri?

Walikuwa wanatuangalia kwa jicho la dharau na kauli zetu uchwara; eti Tanzania hakuna Corona wakati kupima hampimi! How can you justify this? Sio kila kitu ni siasa; mambo mengne ni ya kisayansi na ni lazima yapelekwe kisayansi. Na bahati nzuri tuna Amiri Jeshi Mkuu mwanasayansi ngazi ya PhD.

Pambana na hali yako.
Roho mbaya ndio inakutesa na kukusumbua.
Hoja zako zimejaa chuki dhidi ya Rais

Chuki yako ingefaa kwenda kwa yule aliye tengeneza corona na si maamuzi ya rais..
Hatupangiwiiii
 
Kila kitu kina mikakati na madhumuni yake.....life favors only prepared mind
 
Shirika la Afya Duniani WHO linajiandaa kutoa cheti au kadi ya chanjo ya Corona (Covid-19 vaccination certificate) itakayotumika dunia nzima, na huwezi kusafiri au kupata VISA kama hautakuwa umechanjwa. Kwa sasa chanjo inayotakiwa ili usafiri au ukienda kuomba VISA ni chanjo ya homa ya manjano pekee.

===========

COVID-19: WHO races to develop vaccination card

As countries start to develop their own vaccination passports, the WHO is racing to develop a standard framework for coronavirus vaccination certificates that can be used worldwide to ensure standards are met.

Bernardo Mariano, Director of digital health innovation, WHO, told DW.

Currently, yellow fever is the only disease specified in the World Health Organization's (WHO) International Health Regulations (IHR), which require proof of vaccination for entry to some countries. The yellow fever vaccination certificate is also the only proof of vaccination certified under the IHR.

Vaccination against COVID-19 is not part of the IHR yet, but a country can make a unilateral decision. Some countries already require a negative COVID-19 test to enter, and the next evolution of that will be requiring proof of vaccination, Mariano said.

A COVID-19 vaccination certificate to become compulsory for travel the world over, it would have to be part of the IHR, and that process would take a long time, Mariano said. But there are other avenues.

One such initiative is the CommonPass , a digital framework for verifying COVID-19 tests and vaccination certificates. Some airlines have already been rolling out the app to passengers on select flights.

The agent of abyss is at work promoting the 'Mark of the Best" at any cost taking course through the global recognized conventions whereas eventually there shall be declared that no country is legible to buy and import anything for failure to heed WHO guidance.

The bilblical is being implemented in a manner that nobody will suspect the consequences as most fear death; they do not expect redemption for their unannointed deeds. The mark of the Beast' has been christened as the 'Angel Number that is 666'

The world leaders call the number as 'Angel Number' but as revealed in the scripture it means 'Anti Christ' and whenever you mention to teh people now they figure out fear, lamentation, torment, darkest situation, evil, sin etc.

666 as mentioned in the bible, in the book of Revelation does say in Chapter 13:18,“Here is wisdom. Let him that hath understanding count the number of the beast: for it is the number of a man; and his number is Six hundred threescore and six.”

Based on this verse in Revelation, the mind empowered by religions and media has run completely wild, and now 666 has become one of the most recognized symbols for the antichrist.

So does this mean 666 is always associated with darkness? Is it a bad sign if you keep seeing 666?

The angels assure us that the answer is no, when they show us 666, they do so to convey a much different meaning. Seeing the angel number 666 isn't a bad omen or sign at all, and it's not a number you need to be afraid of. Its just a number!

Quinine you are addressing yourself as an agent of the dark
 
Haya CCM. Kazi kwenu. Mzee wa kaya hataki chanjo. Chafueni zoezi zima kwa kuwa mna ujuzi wa kufanya hivyo.
 
Shirika la Afya Duniani WHO linajiandaa kutoa cheti au kadi ya chanjo ya Corona (Covid-19 vaccination certificate) itakayotumika dunia nzima, na huwezi kusafiri au kupata VISA kama hautakuwa umechanjwa. Kwa sasa chanjo inayotakiwa ili usafiri au ukienda kuomba VISA ni chanjo ya homa ya manjano pekee.

===========

COVID-19: WHO races to develop vaccination card

As countries start to develop their own vaccination passports, the WHO is racing to develop a standard framework for coronavirus vaccination certificates that can be used worldwide to ensure standards are met.

Bernardo Mariano, Director of digital health innovation, WHO, told DW.

Currently, yellow fever is the only disease specified in the World Health Organization's (WHO) International Health Regulations (IHR), which require proof of vaccination for entry to some countries. The yellow fever vaccination certificate is also the only proof of vaccination certified under the IHR.

Vaccination against COVID-19 is not part of the IHR yet, but a country can make a unilateral decision. Some countries already require a negative COVID-19 test to enter, and the next evolution of that will be requiring proof of vaccination, Mariano said.

A COVID-19 vaccination certificate to become compulsory for travel the world over, it would have to be part of the IHR, and that process would take a long time, Mariano said. But there are other avenues.

One such initiative is the CommonPass , a digital framework for verifying COVID-19 tests and vaccination certificates. Some airlines have already been rolling out the app to passengers on select flights.

Zipo nchi tofauti zinatengeneza chanjo, wao wanatoa kwa chanjo ya nchi gani?
Nchi nyingi zimepoteza imani kwa who
 
Haya CCM. Kazi kwenu. Mzee wa kaya hataki chanjo. Chafueni zoezi zima kwa kuwa mna ujuzi wa kufanya hivyo.
Mkuu, Umewahi kuwapiga changa la macho wazazi Kwa kuwaonesha ni kama unatupia kidonge mdomoni, kumbe unazitupa nyuma yako na Kisha kunywa maji ukajipigapiga na kifua kana kwamba umekunywa kidonge??

Kama swala la kuingia nchi za wengine ni Hadi uwe na Kadi la chanjo, basi kuna watu watatumia Mbinu hiyo

Itakuwa ni chanjo ya kiini macho tu kumbe ni bomba lililo tupu na Kadi mtu anapewa

Schanjwi na Kadi nitaipata
 
Nami nitaipata tu

Back
Top Bottom