#COVID19 WHO kutoa ‘Kadi ya Chanjo ya Corona’ itakayokuruhusu kuingia nchi nyingine

... Tanzania inaihitaji dunia; dunia haiihitaji Tanzania. Wakielewa kanuni hii rahisi itasaidia sana.
 
Sasa usiburuzwe wewe nani?

Mzungu akupende una nini?

Babu zako waligeuzwa watumwa alafu unataka leo wakupende una nini?

Dubwasha lako ulilolichagua lina kula raha getoni kwa Asmterdam sasa hivi kwa nini usiende kuungana nalo ili mzungu awapende wote?
 
... Tanzania inaihitaji dunia; dunia haiihitaji Tanzania. Wakielewa kanuni hii rahisi itasaidia sana.
Lini tz itahitajiwa na dunia?

Itakuja tu kama upepo?
 
PhD? Ya kupayuka?? Bila evidence
 
Kazi hiyo inaendelea nchi nzima.

Nyie endeleeni kufuatilia chanjo mchanjwe
Watoto wanaingia kwa shift dar ukiulizwa unajibu kwa mkato ati kwakuwa elimu ni bure? Wakati miundombinu haitoshi???? Mnaropoka ropoka tuu kama hayawani.
 
Bora watupunguzie idadi ya watu wanaokwenda kuzurura na kula bata ulaya na dubai hasa wale wanaokuwa na stress za kutumbuliwa
 
Watoto wanaingia kwa shift dar ukiulizwa unajibu kwa mkato ati kwakuwa elimu ni bure? Wakati miundombinu haitoshi???? Mnaropoka ropoka tuu kama hayawani.
Tunaendelea kuboresha kila kitu, nyie endeleeni kusubiri chanjo mchanjwe
 
Waraka wa maaskofu katoliki ulisema kuwa mwaka jana tulifanikiwa kudhibiti corona na pia watu wengine nao husema corona ilipungua kwa mwaka jana na ndio maana tukaweza kufanya kampeni bila tahadhari zozote kwa sababu maambukizi ya corona yalipungua sana,hili lina ukweli kiasi gani mkuu maana mimi nashindwa kuelewa?
 
Kutawaliwa na wakoloni kulituathiri sana kisaikolojia na kutaendelea kutuathiri sana kisaikolojia. Nakumbuka miaka ya tisini wazazi walivyokuwa wanawakimbiza watoto wao wasipate chanjo ila leo hii chanjo zukikosekana kwenye vituo vya afya kelele zake balaa. Kwasababu tulishaingiwa na woga hii chanjo najua tutaikubali taratibu taratibu n kawaida
 
Trump ndio angefanya tz ihitajiwe?
... hata Rwanda hapo sembuse China hamtaenda bila COVID-19 vaccination card; tena vaccination ambayo ni approved na wao sio "nyungu". No crossing a border without card! Kazi kwenu na mikauli yenu ya kijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…