Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujawahi kusafiri nini?sasa hii balaa.... yaani VISA bila Vaccine ya covid-19 hakuna !! ohoooo.
I fully concur with what has been exposed in this video interview as supported by the follow experts prescription:Hapo sasa
Hayo maneno yenyewe umeyasoma kwenye kitabu kilicholetwa na huyo anayekuletea hiyo chanjo.Isije ikawa ndo Yale mambo akuna kuuza wala kununua usipokuwa na nembo ya mnyama.yameanza.
Hapa ndio tutajua kama kweli viongozi hawakuchanjwa kisirisiri au la, vinginevyo wakubali tu yaishe... kuna kila dalili ya mtu kutafuna matapishi yake mwenyewe. Wenye akili sio wenzio; hakuna kusafiri hadi upate COVID-19 vaccination certificate/card; sijui Tanzania itachomokaje kwenye hili hususan viongozi wa serikali ambao kusafiri ni sehemu ya majukumu yao. Kweli Profesa Kabudi na maafisa wake mambo ya nje hawatasafiri?
Walikuwa wanatuangalia kwa jicho la dharau na kauli zetu uchwara; eti Tanzania hakuna Corona wakati kupima hampimi! How can you justify this? Sio kila kitu ni siasa; mambo mengne ni ya kisayansi na ni lazima yapelekwe kisayansi. Na bahati nzuri tuna Amiri Jeshi Mkuu mwanasayansi ngazi ya PhD.
[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani mna vituko humu ndani naona huyo KENGE anamdharau kiongozi wake ....halafu bado anaendelea kujaza sever za hii nchi. Mi namshauri aondoke tuu aende kule kwa bwabwa mwenzie huko sijui wapi ....huko bigijiii akatafunwee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ndio hivyo shoga wewe
Kama watu wanaendaga wanapewa cheti na hawajachanja hiyo manjano leo ije iwe hii mabluu?Shirika la Afya Duniani WHO linajiandaa kutoa cheti au kadi ya chanjo ya Corona (Covid-19 vaccination certificate) itakayotumika dunia nzima, na huwezi kusafiri au kupata VISA kama hautakuwa umechanjwa. Kwa sasa chanjo inayotakiwa ili usafiri au ukienda kuomba VISA ni chanjo ya homa ya manjano pekee.
===========
COVID-19: WHO races to develop vaccination card
As countries start to develop their own vaccination passports, the WHO is racing to develop a standard framework for coronavirus vaccination certificates that can be used worldwide to ensure standards are met.
Bernardo Mariano, Director of digital health innovation, WHO, told DW.
Currently, yellow fever is the only disease specified in the World Health Organization's (WHO) International Health Regulations (IHR), which require proof of vaccination for entry to some countries. The yellow fever vaccination certificate is also the only proof of vaccination certified under the IHR.
Vaccination against COVID-19 is not part of the IHR yet, but a country can make a unilateral decision. Some countries already require a negative COVID-19 test to enter, and the next evolution of that will be requiring proof of vaccination, Mariano said.
A COVID-19 vaccination certificate to become compulsory for travel the world over, it would have to be part of the IHR, and that process would take a long time, Mariano said. But there are other avenues.
One such initiative is the CommonPass , a digital framework for verifying COVID-19 tests and vaccination certificates. Some airlines have already been rolling out the app to passengers on select flights.
![]()
WHO races to develop COVID vaccination card – DW – 01/27/2021
As countries start to develop their own vaccination passports, the WHO is racing to develop a framework for coronavirus vaccination certificates that can be used worldwide to ensure standards are met.m.dw.com
Aliye kudanganya kwenda Marekani na Ulaya ni bora kuliko kwenda Iringa na Bukoba nani?Kama sisi tunatoa vitambulisho vya wamachinga,wacha tu na WHO watoe hizo kadi.
Mnaokataa chanjo, Ulaya na Marekani hamtakanyaga.
Hizi ndo gia za kutafutia pa kutokea. Mwisho wa siku tutachanjwa tu.Kama kuua watauwa wengi, wameshapania, ila bora kuchagua chanjo za nchi za binadam.
Archana na Ulaya, hata SADC wataisikia kwenye taarifa ya Habari.Kama sisi tunatoa vitambulisho vya wamachinga,wacha tu na WHO watoe hizo kadi.
Mnaokataa chanjo, Ulaya na Marekani hamtakanyaga.
Hivi unafahamu kuna asilimia kubwa ya watu kwenye nchi za ulaya ambao hawakubaliani na chanjo? Kuwazuia watu kusafiri ni uvunjifu wa haki za binadamu. Hii ngoma bado nzito sana tu.... kuna kila dalili ya mtu kutafuna matapishi yake mwenyewe. Wenye akili sio wenzio; hakuna kusafiri hadi upate COVID-19 vaccination certificate/card; sijui Tanzania itachomokaje kwenye hili hususan viongozi wa serikali ambao kusafiri ni sehemu ya majukumu yao. Kweli Profesa Kabudi na maafisa wake mambo ya nje hawatasafiri?
Walikuwa wanatuangalia kwa jicho la dharau na kauli zetu uchwara; eti Tanzania hakuna Corona wakati kupima hampimi! How can you justify this? Sio kila kitu ni siasa; mambo mengne ni ya kisayansi na ni lazima yapelekwe kisayansi. Na bahati nzuri tuna Amiri Jeshi Mkuu mwanasayansi ngazi ya PhD.