WHO: Maambukizi ya Tanzania yanaenea kwa sababu Serikali haifuati miongozo ya afya ya kimataifa

WHO: Maambukizi ya Tanzania yanaenea kwa sababu Serikali haifuati miongozo ya afya ya kimataifa

Suala hapa ndugu mpenda kutawala si kutawala nchi, suala Ni korona itatumaliza iwapo tutaendelea na wapenda kutawala na Kodi. Hivi hizo Kodi watazikusanya kwa maiti!!!?
Kwa kukuongezea dose soma na hii

"*KAGUTA MUSEVEN KAAMUA KUSEMA UKWELI KABISA, MWENYE KUBISHA, AONJE VITA👇👇*

*In a war situation, nobody asks anyone to stay indoors. You stay indoors by choice. In fact, if you have a basement, you hide there for as long as hostilities persist. During a war, you don't insist on your freedom. You willingly give it up in exchange for survival. During a war, you don't complain of hunger. You bear hunger and pray that you live to eat again*

*During a war, you don't argue about opening your business. You close your shop (if you have the time), and run for your life. You pray to outlive the war so that you can return to your business (that's if it has not been looted or destroyed by mortar fire.*

*During a war, you are thankful to God for seeing another day in the land of the living. During a war, you don't worry about your children not going to school. You pray that the government does not forcefully enlist them as soldiers to be trained in the school premises now turned military depot.*

*The world is currently in a state of war. A war without guns and bullets. A war without human soldiers. A war without borders. A war without cease-fire agreements. A war without a war room. A war without sacred zones.*

*The army in this war is without mercy. It is without any milk of human kindness. It is indiscriminate - it has no respect for children, women, or places of worship. This army is not interested in spoils of war. It has no intention of regime change. It is not concerned about the rich mineral resources underneath the earth. It is not even interested in religious, ethnic or ideological hegemony. Its ambition has nothing to do with racial superiority. It is an invisible, fleetfooted, and ruthlessly effective army.*

*Its only agenda is a harvest of death. It is only satiated after turning the world into one big death field. Its capacity to achieve its aim is not in doubt. Without ground, amphibious and aeriel machines, it has bases in almost every country of the world. Its movement is not governed by any war convention or protocol. In short, it is a law unto itself. It is Coronavirus. Also known as COVID-19 (because it announced its destructive presence and intention in the year of our Lord 2019)*

*Thankfully, this army has a weakness and it can be defeated. It only requires our collective action, discipline and forbearance. COVID-19 cannot survive social and physical distancing. It only thrives when you confront it. It loves to be confronted. It capitulates in the face of collective social and physical distancing. It bows before good personal hygiene. It is helpless when you take your destiny in your own hands by keeping them sanitized as often as possible.*

*This is not a time to cry about bread and butter like spoilt children. After all, the Holy book tells us that man shall not live by bread alone. Let's obey and follow the instructions of the authorities. Let's flatten the COVID-19 curve. Let's exercise patience. Let's be our brothers' keeper. In no time, we shall regain our freedom, enterprise and socializing.*"
 
Hao WHO waliwachukulia hatua gani hizo nchi zingine kwa upuuzi wao?

There's an hidden agenda sio bure!
Huwezi point Tanzania wakati huko kwao hali tete kuliko hata Tanzania.
WHO wamesema nini kinachangia huo utete despite kuwasifia kuwa wanachukua hatua?

WHO wakomae marekani atoe mchango maisha yaendelee
Kila nchi ipambane kivyake apatikane anticovid19 watu wapunguze hofu.
Huu ni muda Wa WHO kuongeza nguvu za kutafuta suluhu sio kuleta propaganda mfu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Are you so stupid that you don't understand what WHO is saying!!? The rate in the land is 500% in only ten days and your beloved big dady is just thinking of revenue collection!!!
 
The rapid rise in coronavirus cases in Tanzania is partly a result of the government ignoring the international medical recommendations on social gatherings etc, says Dr. Moeti, the Africa director for WHO, at a briefing today.


In Tanzania, the number of confirmed coronavirus cases has increased by more than 500% in the past 10 days. That's one of the worst rates of increase in the world. No wonder the WHO is concerned.

The information from the WHO is actually not "finger-pointing" -- it's an attempt to show that international experts disagree with the Tanzanian government's strategy. Tanzanians have a right to know about this, so that an informed debate can happen.
USA wenye vifo 50000+ ndiyo wanaofuata masharti sana!! Shenz sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatuwezi kuwapita kwa sababu hakuna ukweli unaotangazwa, kwa kukusaidia uliza waliotoroka Amana hospital wakuambie wameona marehemu wangapi walipokua pale,NAJARIBU KUKUSAIDIA KUFIKIRI do your homework

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kuna ndugu yako kafa au ana CORONA serikali inaficha?

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Tanzania ina maambukizi zaidi ya 500 Ila kinachofanyika ni kuficha data ili watu kama nyie malofa msijue kinachoendelea
Ktk hiyo 500 kuna wajomba, shangazi,Bibi na ukoo wako mzima?

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Hivi unadhani Makonda aliposema watu wanapukutika alikuwa anatania? Hali ni mbaya mno mno. Maiti zinazikwa usiku kwa usiri mkubwa. Kma una muda vizi makaburi kama ya Mbweni, Kunduchi muda wa jioni au usiku uone kinachoendelea. Wameshafariki wagonjwa wengi sana. Una mtu mgonjwa wa corona unayemjua alikuwa hospital ya Amana au anafanya kazi hapo? Hicho Makonda alichosema ndiyo hali halisi na ni katika kubwabwaja kwake akajikuta anatoa siri. Kuna siku wanawazika hata maiti 15!
Hizo maiti ni mama,baba,kaka na ukoo wako mzima?

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Wafaransa wamebaini kuna asilimia ndogo ya wavuta sigara waliopata ugonjwa wa Corona wakafa au hata kuhitaji ventilators.

Wanadhani pengine nicotine inasaidia kumkabili Corona swala ambalo kwa sasa linafanyiwa research lakini hakuna mtu anaeshauriwa kuanza kuvuta sigara kama kinga ya Corona (ni taarifa tu kwa scientists) lakini matumizi ya sigara bado yamewekwa kama tabia ya hatari kwa afya na wataalamu hao hao wa ufaransa.

Uwezi kuwaimiza watu kutumia treatment ambazo azijafanyiwa tafiti; kwani tunadhani hizo vaccine zinatengenezwa vipi kwani wao hawamjui Corona maana kinga yenyewe inataka modification ya cells za kuweza kupambana na Corona sasa utafanya vipi ivyo bila kuelewa virus yenyewe.

Halafu kuna watu kabisa wanatetea hizi kauli.
 
Wanafuata na ndiyo maana waliofariki siyo wengi kama ilivyotarajiwa. Koooote huko unakosema projection yake ya vifo ilikuwa ni kubwa sana lakini wameweza kui-minimize kwa kufuata kanuni. Tanzania hata mimi nakubali kuwa total lockdown practically haiwezekani lakini bado tu kuna hatua ambazo tungeweza kuchukuwa kupunguza makali zaidi. Hivi inakuangia akilini mikusanyiko kama ya Bar, Ibada, masoko nk tumeshindwa kuizuia? Na kwa taarifa yako ni kuwa Tanzania ndiyo tunaanza sasa hivi kukumbwa na vifo... hivyo bado kabisa usianze kufananisha na huko. Usijeona ajabu tukawapita!
Nawewe usiwe kama KASUKU. Corona imeingia Tanzania now ni mwezi. Inasubir nini kumaliza hiyo mikusanyiko?Kwa mbwembwe za Corona tulizokua tunaziona kwenye social media, unafikir Tanzania leo ingetamanika?Au kuna corona mbili?

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Sasa mkuu Kama ninyi mmefungiwa ndani na bado mnakufa Kama kuku,sisi na hali zetu huku za nitoke ndo nile na kugombania dala dala tutapona kweli?
Yah tutapona coz corona ina mwezi na haijaleta lolote la kutisha. Kwa takwimu ni 0.000004 ya watanzania wameathirika. Huoni hii corona haina la maana?

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Yah tutapona coz corona ina mwezi na haijaleta lolote la kutisha. Kwa takwimu ni 0.000004 ya watanzania wameathirika. Huoni hii corona haina la maana?

Senti bai yuzingi tecno T301
Takwimu zako na za Ummy Mwalimu.
 
Tupe takwimu sahihi.

Mimi niko maeneo ya Dsm yenye wakazi wengi na msongamano wa nyumba, lakini bado sijasikia mgonjwa jirani au mtaani.
Hao jamaa wana story za UNAAMBIWA. Yaani kila mtu utasikia unaambiwa wagonjwa wako hivi mara unaambiwa mloganzila pamejaa mara unaambiwa.....Kila mtu anasikia

Senti bai yuzingi tecno T301
 
WHO wamechanganyikiwa tu
USA qanaituhumu WHOkqa uzembe ulioifikiaha dunia hapa,USA wamekata mchango na.msaada wake kwa WHO kwa uzembe huo,leo eti nao wanatunyooshea kidole!
Nakumbuka ubeberu wa Marekani:- bomu la nyukria Horoshima, uvamizi Cambodia; uvamizi Iraq, Libya, na Afghanstan, nk, sasa COVID-19 inawafundisha watawala kuheshimu tawala za nchi nyingine. Kuisusia WHO hakubadilishi hali tete waliyo nayo.
 
Wafaransa wamebaini kuna asilimia ndogo ya wavuta sigara waliopata ugonjwa wa Corona wakafa au hata kuhitaji ventilators.

Wanadhani pengine nicotine inasaidia kumkabili Corona swala ambalo kwa sasa linafanyiwa research lakini hakuna mtu anaeshsuriwa kuanza kuvuta sigara kama kinga ya Corona matumizi ya sigara bado imewekwa kama tabia ya hatari kwa afya na wataalamu hao hao wa ufaransa.

Uwezi kuwaimiza watu kutumia treatment ambazo azifanyiwa tafiti; kwani tunadhani hizo vaccine zinatengenezwa vipi kwani wao hawamjui Corona maana kinga yenyewe inataka modification ya cells za kuweza kupambana na Corona sasa utafanya vipi ivyo bila kuelewa virus yenyewe.

Halafu kuna watu kabisa wanatetea hizi kauli.
Usikariri mambo na kila kitu sio usikilize hao mabwana zenu wa magharibi. Kuvukiza ni njia ya enzi na enzi na kama watu na inafanya kazi wamejaribu shida nn?Au hadi wa magharibi waseme yes?

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Usikariri mambo na kila kitu sio usikilize hao mabwana zenu wa magharibi. Kuvukiza ni njia ya enzi na enzi na kama watu na inafanya kazi wamejaribu shida nn?Au hadi wa magharibi waseme yes?

Senti bai yuzingi tecno T301
Hakuna tatizo lakini isiwe substitute ya scientific treatment.
 
Nchi zingine yanaendelea kwa nn? Ujue Kuna ujinga unaweza kuongea alafu ukaonekana kabisa unachuki na mtu unae muongelea
The rapid rise in coronavirus cases in Tanzania is partly a result of the government ignoring the international medical recommendations on social gatherings etc, says Dr. Moeti, the Africa director for WHO, at a briefing today.


In Tanzania, the number of confirmed coronavirus cases has increased by more than 500% in the past 10 days. That's one of the worst rates of increase in the world. No wonder the WHO is concerned.

The information from the WHO is actually not "finger-pointing" -- it's an attempt to show that international experts disagree with the Tanzanian government's strategy. Tanzanians have a right to know about this, so that an informed debate can happen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Vaccine iliyoanza majaribio walioitengeneza wanatueleza jinsi inavyofanya kazi.

Haya malimao, asali na tangawizi yanafanya kazi vipi?

By the way ata kwa wazungu sasa, hiyo tiba ya asili washaivamia ukienda supermarket asali na limao kukuta shida chezea corona; lakini sio tiba inayokuwa endorsed na serikari ukitaka kutumia mwenyewe sawa.
 
Back
Top Bottom