WHO: Maambukizi ya Tanzania yanaenea kwa sababu Serikali haifuati miongozo ya afya ya kimataifa

WHO: Maambukizi ya Tanzania yanaenea kwa sababu Serikali haifuati miongozo ya afya ya kimataifa

Yah tutapona coz corona ina mwezi na haijaleta lolote la kutisha. Kwa takwimu ni 0.000004 ya watanzania wameathirika. Huoni hii corona haina la maana?

Senti bai yuzingi tecno T301
Mkuu ili uone corona ni hatari inabidi kwanza uone ratio ya watanzania wanaokufa ikiwa kubwa si ndo hivyo?by the way huo mchumi na mapato mnayoyasema ni kwa ajiri ya nani hasa? Je ni kwa ajiri ya hawa 0.00004 wanaokufa au ni kwa ajiri ya mishahara na marupurupu yenu tu?
 
For the 1st time, Europe, Asia and America are learning their lesson from a 'tiny' country is East Africa.
Europe has the confidence to reopen their economies from the case studies they have secretely taken from countries like Tanzania.
Kenya for example, has a confidence to open school abrubtly from a lock down using Tz as their case study on impossibilty of adverse effects of reopening.
Tanzania the 1st time, has shown a leadership to the World on how to live with a deadly snake in the room without a single snake bite!

Is this a joke?
 


Vaccine iliyoanza majaribio walioitengeneza wanatueleza jinsi inavyofanya kazi.

Haya malimao, asali na tangawizi yanafanya kazi vipi?

By the way ata kwa wazungu sasa, hiyo tiba ya asili washaivamia ukienda supermarket asali na limao kukuta shida chezea corona; lakini sio tiba inayokuwa endorsed na serikari ukitaka kutumia mwenyewe sawa.
Thank you for this.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ili uone corona ni hatari inabidi kwanza uone ratio ya watanzania wanaokufa ikiwa kubwa si ndo hivyo?by the way huo mchumi na mapato mnayoyasema ni kwa ajiri ya nani hasa? Je ni kwa ajiri ya hawa 0.00004 wanaokufa au ni kwa ajiri ya mishahara na marupurupu yenu tu?
Uchumi unaongelea namba. Hiyo namba inatosha kufunga watu ndani?Shida mmejazwa sana hofu.

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Tuwekeni record ya hizi comments.

Baadhi yetu tutakuja kuziruka kuwa hazikuwa zetu.

Pana kitu kipo very wrong somewhere kiasi kuwa baada ya huu ugonjwa mwenyezi Mungu atujalie kuwa hai, kwa hakika yatahitaji total overhaul.

Hasa hasa system ya elimu na labda system ya uendeshaji wa siasa.

Niandikapo kuna madereva wa malori 2 toka Tanzania wamekutwa na Corona Uganda wakati sisi wenyewe hatuna habari.

Ama kweli ni Mungu tu.

Wewe umeamini ni kweli kuwa ni wa kutoka tanzania? Kama uganda imedanganya.
 
Back
Top Bottom