Waende huko thailand kabila la "KAYAN" au "PANDAUNG" wanawake wana utamaduni wa kurefusha shingo kwa kuvaa mabangili shingoni tokea wakiwa wadogo kitu kinachosababisha misuli ya shingo kulegea na hivyo kuwafanya wawe tegemezi wa hayo mabangili watu shingo zinakuwa ndefu yaani ukimuangalia mtu ni kama twiga yani. hili naona kiafya ni baya na linatakiwa kupigwa marufuku .
Ila wao wameona hilo la kuongeza kisimi? Hebu waacha ujinga wao ,nina mpango niki hit 25 niende nikachague mlimbwende mwenye kisimi inchi 5 na mimi ni enjoy mema ya nchi sasa wanataka nivurugia mipango.
《Caprichar o teu sorriso》