WHO wailaumu Tanzania kwa kuficha uchunguzi wa muathrika aliyeshukiwa kuugua Ebola - Reuters

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Sio kawaida kwa hili shirika kuisema vibaya nchi yoyote, kwa hiili hadi wameamua kuenda kinyume na desturi yao ya ukimya, ni muhimu sana wakaachiwa wafanye ukaguzi na uchunguzi wenyewe, ugonjwa wa Ebola sio kitu chepesi cha kutupiana lawama kihivi hivi.
Kuendelea kuwabania kwa usiri wa kihivi wataendelea kupiga makelele hadi yafike msikotaka yafike.
--------------------------------------

DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzania is refusing to provide detailed information on suspected Ebola cases, the World Health Organization (WHO) said, a rare public rebuke as the region struggles to contain an outbreak already declared a global health emergency.

Transparency and speed are key to combating the deadly hemorrhagic fever because the disease can spread rapidly. Contacts of any potentially infected person must be quarantined and the public warned to step up precautions like handwashing.

WHO said in a statement released late on Saturday that it was made aware on Sept. 10 of the death of a patient in Dar es Salaam, and unofficially told the next day that the person tested positive for Ebola. The woman had died on Sept. 8.

“Identified contacts of the deceased were unofficially reported to be quarantined in various sites in the country,” the statement said.

WHO said it was unofficially told that Tanzania had two other possible Ebola cases. One had tested negative and there was no information on the other one.

Officially, the Tanzanian government said last weekend it had no confirmed or suspected cases of Ebola. The government did not address the death of the woman directly and did not provide any further information.

Despite several requests “clinical data, results of the investigations, possible contacts and potential laboratory tests performed ... have not been communicated to WHO,” the U.N. health agency said.

“The limited available official information from Tanzanian authorities represents a challenge.”

Huo ugonjwa ungekuwepo nadhani ungesha sambaa au wanataka waje na vimelea wausmbaze vizuri

Sasa kama mnajua haupo mbona mnagoma kuwaachia wakague wao, mumetia saini mikataba ya uwazi likija kwenye suala la magonjwa kama haya, watapiga sana haya makelele na mtashangaa kwa Watanzania wanaosafiri kwenda nje ya nchi yaani mnapokelewa na kupitishwa kwenye ukaguzi wa hali ya juu.
Yaani ile unasema umetokea Tanzania jamaa wanachakarika balaa.
 
Wanakagua ugonjwa usiokuwepo? Wao waumize kichwa walete chanjo na sio blahblah za kuleta taharuki
 
Hku unatumia teknolojia yao kuwakejeli...hku ukijipumbaza kabisa hta bila ya wasi wasi
Unadhani bila kuwapumbaza babu zetu Leo tungekuwa Zaid ya wao na kutuletea mifumo mibovu ya Elimu na viongoz pasina kubadili mifumo hyo si ndio hii inatufanya tuwe wategemez juu yao!!?? Tumia akili kuwaza usiwe mfinyu wa fikra mm niko huku kwao na Nina wachana ukweli na huwa nawaambia nitakuja kuwashtak siku Mona wanakuwa wapole tu.
 
Aaa weee!!!hzo hisia tu...
Unadhani bila kuwapumbaza babu zetu Leo tungekuwa Zaid ya wao na kutuletea mifumo mibovu ya Elimu na viongoz pasina kubadili mifumo hyo si ndio hii inatufanya tuwe wategemez juu yao!!?? Tumia akili kuwaza usiwe mfinyu wa fikra mm niko huku kwao na Nina wachana ukweli na huwa nawaambia nitakuja kuwashtak siku Mona wanakuwa wapole tu.
 
Sio kawaida kwa hili shirika kuisema vibaya nchi yoyote, kwa hiili hadi wameamua kuenda kinyume na desturi yao ya ukimya, ni muhimu sana wakaachiwa wafanye ukaguzi na uchunguzi wenyewe, ugonjwa wa Ebola sio kitu chepesi cha kutupiana lawama kihivi hivi.
Kuendelea kuwabania kwa usiri wa kihivi wataendelea kupiga makelele hadi yafike msikotaka yafike.
--------------------------------------

DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzania is refusing to provide detailed information on suspected Ebola cases, the World Health Organization (WHO) said, a rare public rebuke as the region struggles to contain an outbreak already declared a global health emergency.

Transparency and speed are key to combating the deadly hemorrhagic fever because the disease can spread rapidly. Contacts of any potentially infected person must be quarantined and the public warned to step up precautions like handwashing.

WHO said in a statement released late on Saturday that it was made aware on Sept. 10 of the death of a patient in Dar es Salaam, and unofficially told the next day that the person tested positive for Ebola. The woman had died on Sept. 8.

“Identified contacts of the deceased were unofficially reported to be quarantined in various sites in the country,” the statement said.

WHO said it was unofficially told that Tanzania had two other possible Ebola cases. One had tested negative and there was no information on the other one.

Officially, the Tanzanian government said last weekend it had no confirmed or suspected cases of Ebola. The government did not address the death of the woman directly and did not provide any further information.

Despite several requests “clinical data, results of the investigations, possible contacts and potential laboratory tests performed ... have not been communicated to WHO,” the U.N. health agency said.

“The limited available official information from Tanzanian authorities represents a challenge.”

Hivi EBOLA unaificha namna gani kwanza ha ha haa.

Mwandishi wa hii makala hajui maana na tabia za ugonjwa wa EBOLA. Huu ugonjwa hujipigania wenyewe. Ukilipuka mnatafutana kupambana nao.

Tafuteni agenda tofauti kuibomoa serikali ya Jiwe Dr Magufuli maana hakuna mwanadamu anaweza kuuficha ugonjwa huu wa Ebola ukishatokea.
 
Si unamahaba na jiwe jamani

Sio hisia huo ndio ukweli Kama babu zetu waliweza kujitengenezea zana zao kabla ya technology zao unadhani tusingetawaliwa na Hawa wahuni leo tungekuwa wapi tulikuwa na maarifa na akili nying kushinda wao ndio maana wakaamua kutugawa na kutengeneza roho za kubaguana baina yetu

Kabla ya kuja huo ukoloni tulikuwa tunaishi vizuri tu na maisha yalienda
 
Hamna cha ujanja wala nn...Mungu alitugawa na sababu zake...
So hvyo vitu vingine fursa tu...iko siri ya ndani amabyo kw sisi binadamu hatuwezi itambua...
Mungu katika Quran takakatifu kasema "hampi anaye mpenda, ila anampa anayemtaka yeye"so we kn huna usiseme eti umeonewa au hupendwi,la hasha...kuna siri fiche juu yako ..huenda ukatusua zaidi ya yule aliyekutangalia...
So ni mda tu

Thats y vidole vyote havioo sawa
Sio hisia huo ndio ukweli Kama babu zetu waliweza kujitengenezea zana zao kabla ya technology zao unadhani tusingetawaliwa na Hawa wahuni leo tungekuwa wapi tulikuwa na maarifa na akili nying kushinda wao ndio maana wakaamua kutugawa na kutengeneza roho za kubaguana baina yetu

Kabla ya kuja huo ukoloni tulikuwa tunaishi vizuri tu na maisha yalienda
 
Hvyo vyote vimetabiriwa...so sio fikira zao...tafakari hayo...usilolijua ni usiku wa giza..ya Mungu ni mengi bro
Bila mtu mweusi kusingekuwepo na computer mkuu, tatizo mmekuwa brainwashed
 
Sio hisia huo ndio ukweli Kama babu zetu waliweza kujitengenezea zana zao kabla ya technology zao unadhani tusingetawaliwa na Hawa wahuni leo tungekuwa wapi tulikuwa na maarifa na akili nying kushinda wao ndio maana wakaamua kutugawa na kutengeneza roho za kubaguana baina yetu

Kabla ya kuja huo ukoloni tulikuwa tunaishi vizuri tu na maisha yalienda

Ni ruksa kujiaminisha mambo, hivi nikuulize kitu gani leo mumeweza kubuni hapo Bongo, maana hata sindano mnaagiza.
Leo hii Hitler akafufuka kisha aje dhidi ya Tanzania tena akitumia teknolojia za wakati ule wake na nyie mtumie mlichonacho leo hii, kuwa mkweli uniambie kama kweli hatawakojolea na kuwakoloni.
Afrika tuache uzembe na tujitume, haya mapambio ya kujiaminisha pumba ndio yanatuchelewesha.
 
Back
Top Bottom