WHO wailaumu Tanzania kwa kuficha uchunguzi wa muathrika aliyeshukiwa kuugua Ebola - Reuters

Baada ya Kabendera kudakwa sasa husikii chokochoko za 'the Economist" wameamua kuja na staili mpya ya' the Ebola'....

Waandishi wa habari fake na corrupt hawaiiishi kwa sababu ya njaa...

MK254 keep peddling along...
 
Unajua siwaelewi nyie watu, hivi kuna kitu kipya ambacho WHO wamekisema hapo kwenye hiyo video tofauti na walivyokua wanasema tangu mwanzo.
WHO wamerudia mara kadhaa sana na wanasisitiza kwamba sio wao wamesema Tanzania kuna Ebola, walichokiomba ni kuruhusiwa kupata access na taarifa kuhusu mgonjwa aliyeshukiwa kuugua Ebola. Mumejitoa ufahamu na kufyatuka kwa kutaja taja mabeberu.
Kitu kama Ebola lazima kizikwe kabisa maana ukanda wote tunakua hatarini.
 
WHO gani unayosema were wakati country representative wao pale Bongo amekataa hilo taarifa, stop peddling lies and fake news...

Ebola hua haifichiki...
 
Achana na huyu kilaza kazi yake ni kueneza chuki, uwongo na ukabila mitandaoni [emoji23][emoji23][emoji23]
WHO gani unayosema were wakati country representative wao pale Bongo amekataa hilo taarifa, stop peddling lies and fake news...

Ebola hua haifichiki...
 
WHO gani unayosema were wakati country representative wao pale Bongo amekataa hilo taarifa, stop peddling lies and fake news...

Ebola hua haifichiki...

Uelewa wako ndio mdogo au unajitoa ufahamu, nasema kuhusu huyo huyo representative wao ulimskliza na kumuelewa kweli? Alisema na akarudia kwamba wao hawasemi Tanzania kuna Ebola, na hamna hata siku moja waliwahi kusema Tanzania kuna Ebola.
Rudia vizuri taarifa zao WHO, kuanzia mwanzo hamna sehemu wamesema au walisema kuna Ebola Tanzania, kile wamekua wakiomba tangu hapo awali ni kwamba waruhusiwe access kwenye huyo dada aliyekua anasemwa kuwa na Ebola, wenyewe waweze kufanya tathmini, ila mumekua mkiwajibu kwa majigambo na kuwatunishia misuli.
 
Sasa kama mnajua haupo mbona mnagoma kuwaachia wakague wao, mumetia saini mikataba ya uwazi likija kwenye suala la magonjwa kama haya, watapiga sana haya makelele na mtashangaa kwa Watanzania wanaosafiri kwenda nje ya nchi yaani mnapokelewa na kupitishwa kwenye ukaguzi wa hali ya juu.
Yaani ile unasema umetokea Tanzania jamaa wanachakarika balaa.
SIKU UKIWA MKUBWA UTAELEWA VIZURI DUNIA HII BRO[emoji1241][emoji1139][emoji1666][emoji106][emoji173]

Tuamke Africa just think beyond

I love Africa
 
Back
Top Bottom