WHO wailaumu Tanzania kwa kuficha uchunguzi wa muathrika aliyeshukiwa kuugua Ebola - Reuters

Kiburi cha 'my foot' hutumika na wale wenye uwezo wa kutibu chochote, ila nyie hapo mnategemea hawa hata kwa madawa ya Malaria
Hehehe Miafrika bana, nakumbuka Ebola iliwatesa Wanigeria hadi wakaanza kwenda kwa waganga, ila kwa ilivyo gonjwa kali iliwafyeka hadi hao waganga aisie, ilibidi mabeberu waje.
Nani kakwambia hatuwezi kujitibu, dawa za mitishamba kibao zimetuzunguka, kwani mkuu, wewe shida yako haswa ni nini.
 
Wakenya kwa kuabudu wazungu [emoji23][emoji23][emoji23]
Nani kakwambia hatuwezi kujitibu, dawa za mitishamba kibao zimetuzunguka, kwani mkuu, wewe shida yako haswa ni nini.
 
Nani kakwambia hatuwezi kujitibu, dawa za mitishamba kibao zimetuzunguka, kwani mkuu, wewe shida yako haswa ni nini.

Hehehe! Umenikumbusha Wanijeria walivyokumbwa na Ebola, wakawa na jeuri kama hizi zenu, waganga wakaweka mabango kwamba wanatibu huo ugonjwa, watu wakatiririka kuwafuata, aisei walifyekwa wote hadi na hao waganga. Ebola ni moto.
Ndio yale yale yenu ya kikombe cha babu, mliwaua watu wengi sana maana serikali iliidhinisha na kusema kweli kinatibu, watu wakaamini maana serikali huendeshwa kisayansi.
 
Umesoma taarifa, au unakurupuka tu? WHO hawajasema chochote kuhusu 'outbreak'. Mahesabu makali ya serikali ya Tz ndio nini sasa? Chikungunya yenyewe hamuwezi kuidhibiti sembuse ebola. Au mnadhani mtatumia jwtz kupambana na ebola kama walivowatumia kubangua korosho?
Na kwa taarifa yako hao WHO wako wameshasalimu amri..this is Tanzania..
 
Hehehe! Umenikumbusha Wanijeria walivyokumbwa na Ebola, wakawa na jeuri kama hizi zenu, waganga wakaweka mabango kwamba wanatibu huo ugonjwa, watu wakatiririka kuwafuata, aisei walifyekwa wote hadi na hao waganga. Ebola ni moto.
Ndio yale yale yenu ya kikombe cha babu, mliwaua watu wengi sana maana serikali iliidhinisha na kusema kweli kinatibu, watu wakaamini maana serikali huendeshwa kisayansi.
Bongo mizizi kibao tu na wataalam wa jadi wapo kila kona,tena babu wa kikombe amerejea😂😂😂😂
 
Kuna ukweli umeongea hapa,.Tusiombee hilo balaa.Kula laiki yangu.
Hivi EBOLA unaificha namna gani kwanza ha ha haa.

Mwandishi wa hii makala hajui maana na tabia za ugonjwa wa EBOLA. Huu ugonjwa hujipigania wenyewe. Ukilipuka mnatafutana kupambana nao.

Tafuteni agenda tofauti kuibomoa serikali ya Jiwe Dr Magufuli maana hakuna mwanadamu anaweza kuuficha ugonjwa huu wa Ebola ukishatokea.
 
Hehehe! Umenikumbusha Wanijeria walivyokumbwa na Ebola, wakawa na jeuri kama hizi zenu, waganga wakaweka mabango kwamba wanatibu huo ugonjwa, watu wakatiririka kuwafuata, aisei walifyekwa wote hadi na hao waganga. Ebola ni moto.
Ndio yale yale yenu ya kikombe cha babu, mliwaua watu wengi sana maana serikali iliidhinisha na kusema kweli kinatibu, watu wakaamini maana serikali huendeshwa kisayansi.
Serikali haikusema chochote, serikali yetu ni secular, zaidi sana waliwajengea lami na airport ya customers from kenya ili wajinga wakaliwe.
Babu wa watu kishatoka kimaisha sasa hivi na kuna lami inafika hadi kijijini kwake, win win situation.
Back to the topic, dawa za mitishamba ni og kuliko hizo artificial laboratory pharmaceutical.
 
Nchi ya washirikina kama nyie muombe sana kitu kama Ebola kisiibuke huko maana mtatuangamiza sote kwa kujaribu ule ujinga wa mababu zenu majimaji rebellion.
Kikombe cha babu kilinyweo na serikali yote kuanzia ikulu hadi kajamba wa mtaani, mnaishi ovyo sana hamna wataalam wa kutolea tamko wakati mnafanya vitu vya ajabu ajabu.
Ndio maana unakuta nchi yenu pekee dunia yote ndiko albino wanachinjwa na kuliwa.

Babu.jpg
 
Jana niliona kwenye BBC swahili, nilifadhaika. WHO wanasema Tz inakwamisha mapambano dhidi ya Ebola kwa kuficha taarifa za mgonjwa aliyefariki kwa Ebola. Walienda mbele zaidi na kusema, vipimo vilionyesha mgonjwa huyo alikuwa na Ebola.
 
Sio poa hizi habari kuendelea kutangazwa hivi, muhimu sana WHO wakashirikishwa kikamilifu ili waondoe huu wasiwasi, mfahamu kuna maingilian makubwa baina ya hizi nchi zetu na sote tunaweza tukaangamia.
 
waswahili mnaficha ugonjwa jaman! uharo wa ebola na hilo joto la dar sipati picha!
 
Unadhani bila kuwapumbaza babu zetu Leo tungekuwa Zaid ya wao na kutuletea mifumo mibovu ya Elimu na viongoz pasina kubadili mifumo hyo si ndio hii inatufanya tuwe wategemez juu yao!!?? Tumia akili kuwaza usiwe mfinyu wa fikra mm niko huku kwao na Nina wachana ukweli na huwa nawaambia nitakuja kuwashtak siku Mona wanakuwa wapole tu.
Nao hao babu zetu kwanini walikubali kupumbazwa?
 
waswahili mnaficha ugonjwa jaman! uharo wa ebola na hilo joto la dar sipati picha!

WHO wamesema tangu mwanzo kwamba sio wao wanasema Tanzania kuna Ebola, kile wamekua wakiomba ni ushirikiano, waruhusiwe wakague wenyewe kama tetesi zilizopo zina ukweli wowote. Hili limewashinda Watanzania kuelewa, wanafyatuka sana na kulaumu mabeberu, hawana habari kitu kama Ebola kikilipuka watawalilia hao hao mabeberu.
 
Back
Top Bottom