WHO wailaumu Tanzania kwa kuficha uchunguzi wa muathrika aliyeshukiwa kuugua Ebola - Reuters

Hao WHO ndio mashetani yenyewe watakuja kutuletea ugonjwa huo huku maaana namashaka nayo kabisa
 
Hvyo vyote vimetabiriwa...so sio fikira zao...tafakari hayo...usilolijua ni usiku wa giza..ya Mungu ni mengi bro
Halafu we dogo acha uongo MUNGU hakuumba computer,computer hutengenezwa hukoo Japan,china na u.s.a
 
Watz ni washamba kupindukia, yaani mnaikejeli WHO, shirika la kimataifa la afya wakati hamna hata uwezo wa kupambana na malaria tu. Misaada ya mabeberu, sio WHO, ndio inawalipa madaktari wenu na manesi pia alafu mnajifanya mpo level ya U.K au China? Mnaingiza majungu na uchoyo hadi kwenye ugonjwa wa Ebola? [emoji15]
 
Tuondolee akili fupi hapa

 
Dogo kitu usichokijua ni kwamba serikali ya tz ina mahesabu makali sana,huwa hatukulupuki kama hao viongozi wenu,tulijifunza kwa malaria na hatutakubali turudie makosa,ile malaria ni miradi ya watu na tunaipunguza kwa kasi ya ajabu sana...ebu fikiri ebola is an outbreak shit..how can you hide an outbreak??
 
Mambo mengine ni common sense.
Ebola siyo Vidonda vya tumbo.

Tanzania hakuna Cha Ebola wala upumbavu wa Ebola.

Hao majamaa wanataka kuleta upuuzi wao,
Na GvT haiwezi kukubali

Unadhani GvT ikakiri kuwa ugonjwa upo itakuaje??

Halafu ni wiki,Imepita kama Gonjwa lipo si lingeanza kutafuna watu??
 

Wale ni wataalam na ikumbukwe hawajasema ugonjwa upo au haupo, wanahoji usiri wenu kwenye hili.
Kuna mikataba hutiwa saini likija suala la ugonjwa wenye utemi kama Ebola, maana mkurupuko wake unaweza ukaangamiza bara wacha hata nchi, unaweza ukasambaa na kuwakuta hata hao mabeberu, hivyo huwa wanakua makini sana wakiskia umetajwa au kushukiwa sehemu, na watawafuata na kuwapigia makelele hadi wazae na nyie.
Mtaendelea kuwajibu kwa hisia Kali Kali na madongo lakini hawataachia hadi wajiridhishe.
 
Washasema Hakuna Ebola eeh kuna kingine Tena??
 
Mikataba my feet
 
Washasema Hakuna Ebola eeh kuna kingine Tena??
Check Aljazeera, BBC na vyombo vya habari vya kimataifa wanavyowasema kuhusu kugoma kwenu kuwapa WHO ushirikiano. Haya yote yasingekua yanasemwa kama mngekua mumeweka kiburi chini na kuwaskliza.
 
Mikataba my feet

Kiburi cha 'my foot' hutumika na wale wenye uwezo wa kutibu chochote, ila nyie hapo mnategemea hawa hata kwa madawa ya Malaria
Hehehe Miafrika bana, nakumbuka Ebola iliwatesa Wanigeria hadi wakaanza kwenda kwa waganga, ila kwa ilivyo gonjwa kali iliwafyeka hadi hao waganga aisie, ilibidi mabeberu waje.
 
Waiteni mabeberu wawasaidie vyoo naona mnakula mavi Nairobi CBD
 
Ghai...umekielewa nilichokiandila kwel...ama umekurupuka tu

Hehehe!! Hili suala sijui kwanini wana Lumumba wanalichukulia kwa hisia kali hivi, hawajui linaweza kutuangamiza sote.
 

Hii inahitaji hekima, kuna uwezekano mkubwa isiwe ni Ebola, ila kuzidi kuonyesha kiburi dhidi ya hawa WHO ni hatari sana.
 
Waziri wa afya si ameshamilazna nao, kwa kusema hakuna kitu kama hicho...


Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…