Who will win? Argentina <> Spain, Germany <> Brazil?

Who will win? Argentina <> Spain, Germany <> Brazil?

Mkuu Spain mnakikosi kipana na kinatisha. Ingawa wakina king messi na wenzie hawakuwemo.
Hivyo wasipokuwepo wakina Messi ndio timu haiwezi kushinda?
Kama hiyo ndio sababu, basi Argentina hawataweza kufurukuta kwenye World Cup2018.
 
FRIEND MATCH RESULTS 27march,2018.
Argentina:Spain (1:6)
German:Brazil (0:1)
England:Italy (1:1)
 
Argentina ukiangalia majina unaweza ogopa ingiza tmu uwanjani ukazani ushafungwa kabla ya mechi
 
Mkuu Spain mnakikosi kipana na kinatisha. Ingawa wakina king messi na wenzie hawakuwemo.
Wewe nshakwambiaga huna kitu ni kelele tu,Eti kina Messia hawapo,Mbona Brazil Neymar hayupo na wameshinda,tena ugenini?.Unajitetea na litimu lako libovu,hakuna kitu.Toka mfungwe 4-2 na Nigeria nilijua tu pale hakuna timu ni majina tu.Cheki sasa mnapigwa 6-1 kama watoto wadogo.
 
Kina [HASHTAG]#Black[/HASHTAG] panther na [HASHTAG]#PNC[/HASHTAG] hutowaona kwenye Nyuzi kama hizi,wamejificha,wao kazi yao ni kumshabikia Messi tu kumbe litimu lao bovu.hhaha
 
Wewe nshakwambiaga huna kitu ni kelele tu,Eti kina Messia hawapo,Mbona Brazil Neymar hayupo na wameshinda,tena ugenini?.Unajitetea na litimu lako libovu,hakuna kitu.Toka mfungwe 4-2 na Nigeria nilijua tu pale hakuna timu ni majina tu.Cheki sasa mnapigwa 6-1 kama watoto wadogo.

Brazil wameingiza whole squad na wamejikakamua adi wakafanikisha kupata kigoli kimoja, so why wasilipize kisasi cha goli 7 kama ubavu huo wanao!!! Ujerumani hawakutaka kujituma wakijua hiyo ni friendly match tu haina maana yeyote kwao. Na ndio maana hawakuingiza players wakubwa kama akina Ozil, Hector,hummels, Gotze, Muller, khedira hawakuwemo. Na mechi ya Argentina hivyo hivyo wamechezeshwa vijana tena club za ndani tu au unajifanya hulijui hilo? wakina Messi, Aguero, Dybala,Lcardi, javier pastory, Angel Correa hawajacheza sasa unategemea utaifunga timu ambayo imeingiza whole squad! Mbona last match tulimpiga huyo spain goli 4-1.umesahau sio!

Kwa taarifa yako tu hizi ni friendly Match hawazichukulii serious,, Subiri urussi uone.
 
Brazilians Or Spain mans TRUST ME OR NOT

Ndio mnajidanganya ivo 😛😛😛 kwa spain I'm sure atafika mbali but sio brazil,, jasho limewatoka wakaambulia kagoli ka moja, while ujerumani hakujituma kihivyo na hakuingiza wakubwa.
 
Ndio mnajidanganya ivo 😛😛😛 kwa spain I'm sure atafika mbali but sio brazil,, jasho limewatoka wakaambulia kagoli ka moja, while ujerumani hakujituma kihivyo na hakuingiza wakubwa.
Ujeruman wakaambulia ngapi?
 
Back
Top Bottom