Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
- Thread starter
- #21
Argentina nilijua tu kuwa lazima wapigwe
Wengi wao ni vijana wamechezeshwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Argentina nilijua tu kuwa lazima wapigwe
Hali ni zaidi ya tete mkuu
Argentina nilijua tu kuwa lazima wapigwe
Hivyo wasipokuwepo wakina Messi ndio timu haiwezi kushinda?Mkuu Spain mnakikosi kipana na kinatisha. Ingawa wakina king messi na wenzie hawakuwemo.
Wewe nshakwambiaga huna kitu ni kelele tu,Eti kina Messia hawapo,Mbona Brazil Neymar hayupo na wameshinda,tena ugenini?.Unajitetea na litimu lako libovu,hakuna kitu.Toka mfungwe 4-2 na Nigeria nilijua tu pale hakuna timu ni majina tu.Cheki sasa mnapigwa 6-1 kama watoto wadogo.Mkuu Spain mnakikosi kipana na kinatisha. Ingawa wakina king messi na wenzie hawakuwemo.
akina nani hawakuwemo zaidi ya kirukuuMkuu Spain mnakikosi kipana na kinatisha. Ingawa wakina king messi na wenzie hawakuwemo.
Wewe nshakwambiaga huna kitu ni kelele tu,Eti kina Messia hawapo,Mbona Brazil Neymar hayupo na wameshinda,tena ugenini?.Unajitetea na litimu lako libovu,hakuna kitu.Toka mfungwe 4-2 na Nigeria nilijua tu pale hakuna timu ni majina tu.Cheki sasa mnapigwa 6-1 kama watoto wadogo.
Brazilians Or Spain mans TRUST ME OR NOT
Ujeruman wakaambulia ngapi?Ndio mnajidanganya ivo 😛😛😛 kwa spain I'm sure atafika mbali but sio brazil,, jasho limewatoka wakaambulia kagoli ka moja, while ujerumani hakujituma kihivyo na hakuingiza wakubwa.
Argentina 1- Spain 2
Germany 3- Brazil 1
Nlikua naotea mkuu[emoji3] [emoji3]Seriously! no!!
Nlikua naotea mkuu[emoji3] [emoji3]
SawaPole aisee! siku nyingine vumulia tu usiotee mpaka gemu iishe!