WHO yaonya ongezeko la Magonjwa ya Binadamu kutoka kwa wanyama barani Afrika

WHO yaonya ongezeko la Magonjwa ya Binadamu kutoka kwa wanyama barani Afrika

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Shirika la Afya Duniani, (WHO) limeonya kuwa Afrika inakabiliwa na hatari ya kuongezeka ya milipuko ya Magonjwa, ambayo huenea kutoka kwa Wanyama hadi kwa Binadamu kwa asilimia 60 kwa zaidi ya miaka 10 iliyopita

Kesi nyingi zimehusisha Virusi vya Ebola, Magonjwa mengine ya Virusi ya Kuvuja Damu, Homa ya Dengue, Kimeta na MonkeyPoxVirus

WHO inasema miongoni mwa sababu zinazochangia kuenea kwa Magonjwa hayo ni ongezeko la kasi la watu, ongezeko la mahitaji ya chakula kinachotokana na Wanyama na uvamizi wa makazi ya wanyamapori

........................................................

The World Health Organization is warning that Africa is facing a growing risk of outbreaks of diseases that spread from animals to people.

It says these zoonotic outbreaks have increased by more than 60% over the last decade with a large spike recorded since 2019.

Most of the cases have involved the Ebola virus, other viral haemorrhagic diseases, dengue fever, anthrax and monkeypox.

The WHO's Regional Director for Africa Matshidiso Moeti said there was a need to act now to stop Africa becoming a hotspot for emerging infectious diseases.

The WHO says among the reasons behind the spread of these diseases are rapid population growth, increased demand for food derived from animals and encroachment on wildlife habitats.

SOURCE: BBC
 
Until when will Africans continue to treated as Guinea Pigs? Huh?
 
Back
Top Bottom