Hatumbishii mkuu, ila ni vile tu wasanii wana hizi culture za kutuzuga baadhi ya vitu, mfano:
- Diamond aliwahi kuazimwa V8 na pedeshee kitu kama Katunzi (sikumbuki vizuri) akasema kanunua
- Wema aliwahi kuuambia uma nyumba aliyopanga Kijitonyama kainunua, kulikuwa na Range aliazimwa au sijui ilikuwaje, alisema ni take
- Sheta alitutambia na V8 ya kuazima akisema ni ya kwake
- Nay wa Mitego aliwahi kutuonesha nyumba ya around 70mil akasema imemgharimu mil 300
- Kuna kina Giggy na mawigi ya mil 6
Hao ni wasanii na usanii ni kazi yao, hiyo nayo ni sanaa.