kwa-muda
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 2,097
- 5,348
- Thread starter
- #81
Hatuishi kwa kuigana tunaishi kwa kufanya yale tunayoona yanaendana na maisha yetu na mahitaji yetu.Sasa wewe, umeona wapi mwanaume anasifiwa au kupostiwa kisa kanunua gari?
Shusha mjengo post ntamusaidia kushare,,
Halafu siyo kila michongo yake lazma utumie gari binafsi mbna bajaj zpo tena sana,
Unamiliki gari hata kununua mafuta unashndwa[emoji3]
#bado_sijanunua_gari_mjini_kuna_jam!
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
As long as ela kaitolea jasho lake hakuna aliyemchangia ana haki ya kununua chochote na kuifanyia chochote amabacho anaona kinafaa.
Halafu kununua gari ni jambo gumu kuliko kujenga kwakuwa gari mara nyingi inahitajika ulipie cash wakati nyumba unajenga kidogo kidogo japo ni kwa muda mrefu.
So kama aliweka lengo la kununua gari katimiza, basi hata kama ana lengo la kujenga atatimiza Inshallah.